IrudiweeeeeeeNawe unaendaga wapi[emoji23]
Chimbo kumenoga, mtu anafundwa, mie ndo mshika mwaliNawe unaendaga wapi[emoji23]
Loooh ndo maana Leo u po na heka heka[emoji23]Chimbo kumenoga, mtu anafundwa, mie ndo mshika mwali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
😂😂 shughuli gani za usiku hizoUmeshtuka now😂😂
Me nilikua nimejipa shughuli kidogo, now nikatafute kitanda nilale
Nishazama kwenye blanket[emoji41]Irudiweeeeeee
Uwe na usiku mwemaNishazama kwenye blanket[emoji41]
Shughuli zipo nyingi😂😂😂😂 shughuli gani za usiku hizo
[emoji1545]Uwe na usiku mwema
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mambo yanayofanyika hapa, siku chimbo likivamiwa watu watatafutana, sijui itakuaje.Loooh ndo maana Leo u po na heka heka[emoji23]
Ebu tuone!Shughuli zipo nyingi😂😂
Nigekutumia picha sema nishamaliza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nasubiri uzi[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mambo yanayofanyika hapa, siku chimbo likivamiwa watu watatafutana, sijui itakuaje.
Mtu anafundwa, woiiiiiiiih
Hzo nguo ulizofua na giza lote ili zimetakata?Shughuli zipo nyingi😂😂
Nigekutumia picha sema nishamaliza.
UtaotaEbu tuone!
D
Selfika dogo
Cheki wasapu😅Hzo nguo ulizofua na giza lote ili zimetakata?
Mtu analalama kuwa anaachika kila anapojiweka, makonki wanamuweka chini kumfunda, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nasubiri uzi