Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Raha za tangaaa 😍😍Kama kipi umekimisii 😬
Raha za tangaaa 😍😍Kama kipi umekimisii 😬
Mimi nataka nikupoteze miezi uje huku Tanga ila waambie kabisa familia yako unaelekea wapi yasitokee ya Ashura😜Raha za tangaaa 😍😍
Hiyo haipingwii imepitaa bila kupingwaaa .. ukinipotezaa wewe haina shidaaa kabisaa 🤭🤭🤭Mimi nataka nikupoteze miezi uje huku Tanga ila waambie kabisa familia yako unaelekea wapi yasitokee ya Ashura😜
2012Aah OK 2017 nilienda kwa utaratibu hivyo nilikuwa ndani!
2019 nimeenda kivyangu nilifikia hotel ,nishakua mwenyeji sn.
2012 DEC nilienda kwa utaratibu
2014 pia

Toa taarifa police sitaki lawama baadae😬Hiyo haipingwii imepitaa bila kupingwaaa .. ukinipotezaa wewe haina shidaaa kabisaa 🤭🤭🤭
Ah mie nilikuwa siombi bwana alishanipiga kibuti long time huyu mremboIngia Tu pm moja Kwa moja kisha sema nae,usione soo..Ila staili uliyoomba unajizungusha sn na unaweza usipate
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
UsifungeHongera nimekufurahia buree kabisa. Kwa walimu wangu , sema mwaka huu naenda Ghana nafunga na hizi Trip nakomaa na mambo yangu



Yako na pepo

Wanachagua sanaMume mnachagua sanaaa, sio kwamba hawapo wapo ma Big boys ya maana ni weweeeee tu


Mwenyewe unatamani hatariMuombee kaka yetu aopoe ukwasi wa kuwafikisha huko
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Dear X mie mwenyewe polisi 😅😅😅 Nitekeee kabisaaToa taarifa police sitaki lawama baadae😬
Kumbe ni silo weye😬Dear X mie mwenyewe polisi 😅😅😅 Nitekeee kabisaa
Nimejikuta na zoom na zoom tu hata sielewi ninazoom nini...😋Nipo kwenye siti,anataka nimpakateView attachment 2237499
Mzigo kama huoUsiniambie umetupiga chini![]()



ShangaziNa mimi niliku mind haujatupia ya obama wakati uliahidi...![]()
😅😅😅😅😅 ewaaa nachukua kabisa kibari cha kuwepo nje ya mkoaKumbe ni silo weye😬
Mwenyewe sijuiNimejikuta na zoom na zoom tu hata sielewi ninazoom nini...![]()
Hajui kweliHujui ndo maana unafikiri tunachagua!
Na tunatofautiana
