Eeh sasa shemeji ametokea wapi tena jamani ,😭😭😭😭Nataka nije nikutambulishe shemeji yako,
Maana ananiuliza huyu mzabzab anafananaje[emoji41]
Eeh sasa shemeji ametokea wapi tena jamani ,😭😭😭😭Nataka nije nikutambulishe shemeji yako,
Maana ananiuliza huyu mzabzab anafananaje[emoji41]
Nachat nawe huku naangalia picha yako na hakika si wewe yule😩Ng'woooooo 🙄🙄🙄
Changamka bwana sexy body hilo lipate mmiliki halaliAaah
Sawa ahsante kwa ushauriChangamka bwana sexy body hilo lipate mmiliki halali
dear X 😅😅😅Nachat nawe huku naangalia picha yako na hakika si wewe yule😩
Ila usisahau kumpitisha kwangu nikupe go ahead ama ni mpigaji tuu huyo🤣🤣🤣Sawa ahsante kwa ushauri
Kama hivyo fresh, kesho mchana niko hapo tupige lunch wote😋hapana mie sitoki bwanaaaaa 😆😆😆😆 ujeee bwanaaa
Mbona ufanani nae kuanzia vituko vyako jukwaani nadhani ni picha ya ku google ile😬😬😬dear X 😅😅😅
Mbona kulia tena shemeji[emoji50],Eeh sasa shemeji ametokea wapi tena jamani ,[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kila jambo na wakati mkuu Wakati wake utafika tu 😜😉!!Kweli kila mtu na uzuri wake...sasa nashangaa hyu mrembo moaka leo hana kidume analipapasa tako hilo🤣🤣🤣🤣
😜😜😜😘😘Mamaaa 😍😍😍
😁😁😁 ndio mimi hapa dear XMbona ufanani nae kuanzia vituko vyako jukwaani nadhani ni picha google ile😬😬😬
Kuna watu ni mawaziri humu ila ukiona vituko vyao unabakii unajiuliza huyu ndio muwakilishi wetu 🤷🏼♀️😁😁😁 ndio mimi hapa dear X View attachment 2237419
ndio shangazi ni kigauni!!
Dear X nime miss sana tangaa 😅😅😅Kuna watu ni mawaziri humu ila ukiona vituko vyao unabakii unajiuliza huyu ndio muwakilishi wetu 🤷🏼♀️
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Nilikatazwaaa na chombo ua fundi kumbe kuna siku ilichungulia Id yangu.. sasa jana ikaanza kunichambaaa inaniambia inaona tu ninavyo jifanya kichaa hukuu [emoji28][emoji28][emoji28]
Wee njoo tuu wala usijali kwanza nitawatembeza mshangae shangae jijiMbona kulia tena shemeji[emoji50],
Hutaki[emoji6]
Kimechana mkekaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitaalam inaitwa abiria chunga mzigo wako...