Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,711
[emoji3]duh watu nomaPole mkuu wajanja wamepita nayo tayari
[emoji3]duh watu nomaPole mkuu wajanja wamepita nayo tayari
Asante mpendwaSafi sanaaa, inapendeza. Hongera
Mi ndo umenibania mazima mjep vibaya hivyooi
OK ,SA ,jorbeg nimeenda 2019 hiyohiyo nimerudi nikapiga Lagos!Mie huwa napenda sana kwenda zaidi SA na Zimbabwe ila Nigeria season nahisi ilishanipitaga
Jmn watu wana roho mbaya,Na hivi hata notification sipati,duhSijakubania madam nimeweka hapa hadharani ila wewe unapotea sana wajanja wanawahi
Mi ukiweka hapa siwezi pata sbb hata Niki refresh page sipati notification yyt,mpk ni comment!Sijakubania madam nimeweka hapa hadharani ila wewe unapotea sana wajanja wanawahi
Aah Nina mb 100 tu siwezi pandisha picha aiseeJaman tumeni makomwe yenu basi tuyaone vocha nikose hata komwe nisione [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] juc jokes
Fanya hvyo basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji23] Hatari hii [emoji119]
Tuma bana MB 100 nyingi sana mm Nina MB 20 tu toka asubuh natumiaAah Nina mb 100 tu siwezi pandisha picha aisee
Hahaha Sawa cheupeBibie mi sina kitu nikipata ntakupa pm huko hapa ni jackpot ya Sportpesa kila mtu anataka kuwa bilioni[emoji23][emoji38]
Mi ukiweka hapa siwezi pata sbb hata Niki refresh page sipati notification yyt,mpk ni comment!
Jmn naomba inbox hapa kweli sitapata
1. ~Mkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake...
2. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Msaada sio Haki yake asipopewa Asinung'unike atafute Chake...
3. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Tumeona mazuri kwa watu waliokuwa wakiitwa wabaya na Tumeona mabaya kwa watu waliokuwa wakiitwa wazuri kwahiyo Aishi na kila mtu kwa akili...
4. ~Mkumbushe Mwanao kuwa bila Mungu hatofika popote...
5. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Tunakosa Usingizi ili wanaotutegemea wapate kulala Vizuri...
6. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Akiwa baba au mama hata akiumwa hatotamani watoto wajue maana tumaini lao pekee ni yeye...
7. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Kilicho bora kwake hakiwezi kuwa bora kwa watu wengine...
8. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Alipoamka leo kuna Mwenzake amevuta Pumzi ya Mwisho, inabidi amshukuru Mungu kwa hii zawadi ya Siku Nyingine...
9. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Njia yake ikishanyooka Asithubutu kuwanyooshea vidole ambao Njia zao bado zina KONA...
10. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Mtu atakae mpatia Bega wakati analia basi Asimsahau wakati amenyamaza...
11. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Wengine hatuna Mtu wa kumtegemea au Ndugu wa kumlilia Shida, Ukimtoa MUNGU Tunaamini sana kwenye Nguvu, Juhudi na Maarifa Yetu. ZAIDI Aishi Vizuri na Watu ila asijipe umuhimu kwenye maisha ya WATU...
12. ~Mkumbushe Mwanao kuwa anayemuona anacho kuna siku alikua hana kama yeye Msihi aendelee kutafuta...
13. ~Mkumbushe Mwanao kuwa akitanguliza kutafuta Umaarufu kabla ya Pesa basi ku-FAKE kutamtesa...
14. ~Mkumbushe Mwanao kuwa tunaanzaga na tulicho Nacho ili kutafuta ambacho Hatuna...
15. ~Mkumbushe mwanao kuwa Furaha ya kweli katika maisha ni pale tu anapokuwa na Amani ya Moyo bila kujali hali ya maisha aliyonayo...
16. ~Mkumbushe mwanao kuwa kuna maamuzi ili yamletee Faida lazima yamuumize kwanza...
17. ~Mkumbushe mwanao kuwa asivuke Bahari Kusalimia Watu Ambao Hawawezi Kuvuka Hata Mfereji ili kumjulia Hali Yake...
18. ~Mkumbushe mwanao kuwa bila Mungu sisi si chochote...
19. ~Mkumbushe mwanao kuwa ajitahidi kuwa na shukrani...
20. ~Mkumbushe mwanao kuwa hatuwezi kuwa sawa maana kuna tunaokula kilicho iva na wengine wanakula chenye ladha...
[emoji7][emoji44][emoji849]
😅😅😅😅 Hongera nimekufurahia buree kabisa. Kwa walimu wangu , sema mwaka huu naenda Ghana nafunga na hizi Trip nakomaa na mambo yanguOK ,SA ,jorbeg nimeenda 2019 hiyohiyo nimerudi nikapiga Lagos!
Ila nilienda tu kutembea!
We ulikuwa unaenda kwa Bushiri?
Na Zimbabwe kwa nani? Magaya?
Nice capo[emoji3590]Kutoka maktabani na mama BAE.View attachment 2237106
HapanaTuma bana MB 100 nyingi sana mm Nina MB 20 tu toka asubuh natumia
SawaOndoa kufuri kwa Kassim madam
Hingera pia![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Hongera nimekufurahia buree kabisa. Kwa walimu wangu , sema mwaka huu naenda Ghana nafunga na hizi Trip nakomaa na mambo yangu
Kikubwa umeenda , na kama umeenda na umejifunza vizuri umejua ambavyo hukujua au sio 😁😁Hingera pia!
Mi ilikuwa hela ya wazazi tu,sina ubavu huo[emoji3]!
Nipo tu hakyamama ni balaa!