Usijali bwana utakuja kuniona
Usijali bwana utakuja kuniona
Ngoja ngoja uumiza matumboKila jambo na wakati mkuu Wakati wake utafika tu 😜😉!!
Hapo saw aWee njoo tuu wala usijali kwanza nitawatembeza mshangae shangae jiji

Nataka hapaUsijali bwana utakuja kuniona
Ngoja ngoja uumiza matumbo
Hapa wachawi wengi...nilishakutumia pmNataka hapa
@financial services Siwezi kuishi bila wewe nakupenda jmn mieHellow wanaselfika![]()
Mhm baadae ndio mnaanza leta story or wanaume aio waoaje or mara ilimradi anapumua tuu 🤣🤣🤣🤣Na pole pole ndio mwendo 😉!
Umeona pisi kali hiyo@financial services Siwezi kuishi bila wewe nakupenda jmn mie
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Acha tu chief kazi imesmama sanaUmeona pisi kali hiyo
Ndege kwa kiotaHellow wanaselfika![]()

Alafu unaambiwa jimbo lipo wazi na mrembo msomi balaa, anapiga cpa yake yaani mzeya tupa karata yako fasta pisi pisi kweli.Acha tu chief kazi imesmama sana
MmmmhHapa wachawi wengi...nilishakutumia pm
Aisee hamna kitu kina ipa raha kama mwanamke avae hivi alafu awe na kijitako
Haiombwi hivyoAisee hamna kitu kina ipa raha kama mwanamke avae hivi alafu awe na kijitako


Inaombwaje sasa mkuu
Kama kipi umekimisii 😬Dear X nime miss sana tangaa 😅😅😅
Ingia Tu pm moja Kwa moja kisha sema nae,usione soo..Ila staili uliyoomba unajizungusha sn na unaweza usipateInaombwaje sasa mkuu
