Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Kivipi Wii?Mi sipendi mwanaume ambae hawezi kuni control, nitamcntrol yy!
[emoji3]piga chini!
Lango li wazi
Hebu fafanua kidogo
Kivipi Wii?Mi sipendi mwanaume ambae hawezi kuni control, nitamcntrol yy!
[emoji3]piga chini!
Lango li wazi
😅😅😅😅 Yanakuwaga kawaida kwa ambae umetembea na nyavu, ila kwa ambae ujafunga wala kupiga shuti gorini lazima yawe maajabu tuuu alafu nimepitiwa tena nimeshindwa hata kuitunza picha kwenye flame 😅😅😅😅Shukrani sana katibu
Aaah mjomba Naamini haya mambo kwako ni yakawaida sana mjomba!!
Mwenyekiti huwezi nifungia hii PM maana Kula mbele ya watu nimeshindwa ni yamoto sana 🤣 🤣 , nitaenda Kula nyumbanindio shangazi ni kigauni!!
😂😂🤣🤣🤣 mbona nimeshairudia sana tu hii mjomba!!😅😅😅😅 Yanakuwaga kawaida kwa ambae umetembea na nyavu, ila kwa ambae ujafunga wala kupiga shuti gorini lazima yawe maajabu tuuu alafu nimepitiwa tena nimeshindwa hata kuitunza picha kwenye flame 😅😅😅😅
Ameshaniharibia kabisa usiku wangu. Mimi nilijua Jimbo letu hilo kabisaKivipi Wii?
Hebu fafanua kidogo
Basi nitakuwa napitwaga kuna kipindi nakuwaga mzembee sanaa hasa nikiwa na stress😂😂🤣🤣🤣 mbona nimeshairudia sana tu hii mjomba!!
Hizi habari zimenishtua sana 🥺Ameshaniharibia kabisa usiku wangu. Mimi nilijua Jimbo letu hilo kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya kuipuliza kwanza katibu! ili usife njaa katibu 😂😂🤣🤣🤣😜😜😜😜🤭🤭Mwenyekiti huwezi nifungia hii PM maana Kula mbele ya watu nimeshindwa ni yamoto sana 🤣 🤣 , nitaenda Kula nyumbani
Jehovaaaa[emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji3][emoji3]nimemuacha bwanaa naonana ananiletea mambo meusi[emoji85]
pole sana mjomba sitiresi sio kitu kizuri kabisa mjomba!!Basi nitakuwa napitwaga kuna kipindi nakuwaga mzembee sanaa hasa nikiwa na stress
😅😅😅😅😅 Nilikatazwaaa na chombo ua fundi kumbe kuna siku ilichungulia Id yangu.. sasa jana ikaanza kunichambaaa inaniambia inaona tu ninavyo jifanya kichaa hukuu 😅😅😅Na mimi niliku mind haujatupia ya obama wakati uliahidi...[emoji2][emoji2]
Upo mwemyewe au 🥱🥱Leo nipigwe na baridi pande hizi[emoji50]View attachment 2237169
Upo pekee akoLeo nipigwe na baridi pande hizi[emoji50]View attachment 2237169
Nitajaribu Jaribu sema muhudumu kashaondoka na sahani! Daaah😳😳Fanya kuipuliza kwanza katibu! ili usife njaa katibu😂😂😂🤣🤣🤣😜😜😜😜🤭🤭
Hizi kama pigo za kihome home flaniii hivi 😅😅😅 unaenda kisimani hivyo 🔥🔥🔥 acha niache ku imagine nipite zangu kushoto 🚶♂️🚶♂️🚶♂️pole sana mjomba sitiresi sio kitu kizuri kabisa mjomba!!
Itabidi uagize upya katibu!!Nitajaribu Jaribu sema muhudumu kashaondoka na sahani! Daaah😳😳
Kaka unataka umuibukieUpo mwemyewe au 🥱🥱
Mbona kisimani mjomba🙃🙃🙃🤔🤔🤔!Hizi kama pigo za kihome home flaniii hivi 😅😅😅 unaenda kisimani hivyo 🔥🔥🔥 acha niache ku imagine nipite zangu kushoto 🚶♂️🚶♂️🚶♂️
Wapi hii? Ni pazuri kweri kweri.Leo nipigwe na baridi pande hizi[emoji50]View attachment 2237169