Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha kabisaa, Nilikuwa natoa report kazini nikabakia naongea vitu havieleweki havihusiani na kazi hadi nikakata simu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… kwanza akili ikae mahala pakee Ebu jaribu kumuomba mahondaw shangazi anaweza fanya jambo kwa ajiri yako
Kama nilituma voice note, imagine nilijitoa mhanga nikaji record naongea, ujue nilijilipua cause sauti inaweza kutumika ku authenticate au ku verify identity ya mtu, niliishia kupata emoji ๐Ÿ˜ณ..

We nihadithie tu..
 
IMG-20220524-WA0005.jpg
 
Kama nilituma voice note, imagine nilijitoa mhanga nikaji record naongea, ujue nilijilipua cause sauti inaweza kutumika ku authenticate au ku verify identity ya mtu, niliishia kupata emoji ๐Ÿ˜ณ..

We nihadithie tu..
Voice ni rahisi sana kumtambua mtu.. ulishtuka haraka ..

Namna ilivyo kuwa, umeisha ona picha kama kitamaduni unakuta mdada kala kitenge ( min ) na kujifunga kwenye maziwa wale huwa wanapaka mafuta wanang'aaa ? wanapiga picha nzurii ndio kitu alicho kishusha madama shnagazi mahondaw hapa ni mtafutano
 
Nimepata picha, hio inanitosha kabisa, kwa hio ametoka kuoga sivyo?
 
Back
Top Bottom