🤣 🤣 🤣😀😀 mkuu hii sitaki hata ku imagine.. ila acha tu kuna vitu na hapo ni mtihani mzito sana kwa wafalme kuuza mechi ni dk sifuri
ila kuna kazi , nikipita maeneo maeneo nabaki nawaza tu leo kuna sehemu nilienda ile naingia tu kuna wawili walikuwa wanatoka cheeee, mbele yangu mwenyeji wangu akawa ametokea nikashindwa geuka ila yeye akabaki anaona noma kucheko mwisho wa siku tukaanza kucheka na wote tukageuka yaani mtu kama kajichora🤣 🤣 🤣
its heaven Bro..
Be carefullyNaogopa sana najua nguvu zangu huwa zipo kwenye mind ( imagination ) , chochote ambacho huwa niki imagine mala nyingi huwa
Jamani jamani leo rahaaa.
MTT mzuri
Generally, I'm into thicker girls, wakipita lazima nigeuke, 🤣 , kuna nguvu flani unahisi inakuvuta ugeuke tu..ila kuna kazi , nikipita maeneo maeneo nabaki nawaza tu leo kuna sehemu nilienda ile naingia tu kuna wawili walikuwa wanatoka cheeee, mbele yangu mwenyeji wangu akawa ametokea nikashindwa geuka ila yeye akabaki anaona noma kucheko mwisho wa siku tukaanza kucheka na wote tukageuka yaani mtu kama kajichora
Sana.
Kwahiyo Leo umeoteaYaani leo nina bahati ya mtende
Maana kila siku naambulia za uso
Ata kama ni google sawa tu![]()

👺👺👺l
Big boy wana faidi
Tutaenda kujirejister tufanye tangazo tupige hela💵
😀😀😀😅😅 yale kama maua yenye harufu nzuri, na huwezi sikia harufu nzuri usitake kujua inatokea wapi.. acha tu ila 🔥🔥Generally, I'm into thicker girls, wakipita lazima nigeuke, 🤣 , kuna nguvu flani unahisi inakuvuta ugeuke tu..
👿👿👿
Binti Abby
Sio kwamba ni mnene sana kwa sasa bali ule mwili wa usichana umeondoka umekuja mwili wa uhenga zaidi nimeongezeka kidogo na mvi mbili kichwani😬😬Jitahidi ukarudishe kama sio sana basi hata kidogo… Ulikuwa vyedi sana 🔥