Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,221
- 183,074
Baba pasta wee hatare sanaππππ€£!!π π π Visimani kuna mambo hata Rebeka alidakwa Kisimani ... nimekumbaka mbali sana enzi za kuchota maji kisimani π π π nilikuwa nakaa kama moses waje watoto wakali nawapambanie wapate maji haraka