"Kitambi noma" wapi una mwili mwembamba hivyo bosi halafu toli? BMI yako si ajabu hata haizidi 20!
Leo nilikwenda kwenye annual physical yangu daktari ana kiranga huyu mama anataka nipunguze kilo 10 mpaka Juni 30. Hataki kabisa kuona ninakula ugali. Yaani hapa hata raha sina maana maisha bila ugali dah!
Nishirikishe mazoezi ya kuondoa hizi kilo 10 zisizohitajika mkuu ili nirudi kwenye kula ugali tena