Mama Junia upoMkutane sasa hapo chuga mpige mbili tatu na Mjep
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Huo ni ubaguziLeo nitapost vocha za alfu tano tanoo kuanzia mda wowote kuanzia sasa .. Mtandao ni Vocadom tu![]()
Ningeitaka hii ingekuwa yangu 😅😅
Boss Leo nimewahi AsanteHongera sana sanaBoss Leo nimewahi Asante
Kakashiliwa kwenye 619 unafikiri atatoka hapoo acha kabisa hilo pigoo ukichomoa lazima utoke kama umelewa 😅😅Ila umemuachia Saint Anne
Yeye mwenyewe kajificha wapi tena??
Asante mzima lknHongera sana sana
Hujuma zinaendelea.
Namshukuru Mungu afya iko imara bestAsante mzima lkn
Nipo Auntie Junia.Mama Junia upo
Wapige bia
Hakuna kama biaHapana mkuu, mkuu _King ametuahidi anatutafutia wanawake wazuri na hoteli ya nyota saba.. hio offer ni zaidi ya bia
Karibuni SanaNipo Auntie Junia.
Namuandaa Junia tayari Kwa kumleta kwako umnyooshe.
Hujuma zinaendelea.
Mwishowe nidondoke bure.
Nimejitoa rasmi kwenye kinyang'anyiro.

Asante Auntie.Karibuni Sana