cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,173
Chungulia hapo 🥹🥹🥹Nawee hiyo uliokuwa km Obama hebu niione kwan.
😒😒😒😒😒😒 kweli tena 🥲Niliirudia ya jana mjomba!!
😀😀😀😀 Mungu nahisi mie jana sijalala kama vile na hadi sasa hivi sijalala yaaani.. Big Boy yupo powaa eeh 😅😅Kumekuchaaaa
Mmeamkaje na FIB?
😒😒😒😒😒😒 kweli tena 🥲
Sijaona hata mbna.Chungulia hapo 🥹🥹🥹
Nimepitwaaaa lol.Kumekuchaaaa
Mmeamkaje na FIB?
Ameiona bhana.Kweli coca hakuiona mjomba !
Jana ulikesha na nini jamani.😀😀😀😀 Mungu nahisi mie jana sijalala kama vile na hadi sasa hivi sijalala yaaani.. Big Boy yupo powaa eeh 😅😅
🤣🤣🤣🤣Nimepitwaaaa lol.
😀😀😀😀 Mie kutokulala kawaida sanaaa .. nina capacity ya kukaa macho bila kusinzia siku nne kwa mfuatano na hili kuna siku nilifanya nikiwa na kazi mikoa mitatu kwa wakati mmoja na yote ilikuwa na uzinduzi sikulala na nilikuwa naendeshaa gari hadi walinivulia kofia maana huwa siamini kuendeshwa na mtu 😀😀😀Jana ulikesha na nini jamani.
Sasa kazi zinaenda kweli leo😃
Big boy yuko poa, anapambana huko kutafuta dolari
Msalimie Big boy basi .. Muambie nampa hiJana ulikesha na nini jamani.
Sasa kazi zinaenda kweli leo😃
Big boy yuko poa, anapambana huko kutafuta dolari
shos nakutafuta kwa waziri mkuu njoo mara moja!!Ameiona bhana.
Duuh wewe ni noma aisee.😀😀😀😀 Mie kutokulala kawaida sanaaa .. nina capacity ya kukaa macho bila kusinzia siku nne kwa mfuatano na hili kuna siku nilifanya nikiwa na kazi mikoa mitatu kwa wakati mmoja na yote ilikuwa na uzinduzi sikulala na nilikuwa naendeshaa gari hadi walinivulia kofia maana huwa siamini kuendeshwa na mtu 😀😀😀
Awapi na uzuri unachangia ...uko mzuri na ngozi nyororooo plus guu la bia! Awwwwwwwwwww!!![]()
asanteeeeehhhhhhhh.... Very beautiful 😘😘Kumekuchaa View attachment 2235402