Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

alafu nilidanganya ile nasema nipo Lugalo nilikuwa NDC kunduchi 😀😀😀 nilipofika tangi bovu nikasema nipo mwenge , nilipofika lugalo nikasema nimefika 😅😅😅😅😅

June nipo hapa hapa Dar - Moro - Dodoma - Shinyanga kati ya hii mikoa 😅😅
Mnyongoroto .com🤪🤪
Nikifika mwanza nitakucheki tuone kama kuna mabadiliko
 
33674635-b0d2-4329-8514-61262ae231bf.jpg
 
Back
Top Bottom