Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Mbna c u kipenzii, nawe unapotea sana,
Afu nimekumbka, leo nipostie ile meza ya Tv yako. Maan sikusave ile siku.
Nimebanwa sana na kazi Mpenzi
sawa nikirudi nitaipiga picha nitakupostia
Mbna c u kipenzii, nawe unapotea sana,
Afu nimekumbka, leo nipostie ile meza ya Tv yako. Maan sikusave ile siku.
Mjep unachelewa hukuuuuuu!!!Kumekuchaa View attachment 2235402
Thanks madam ❤️asanteeeeehhhhhhhh.... Very beautiful 😘😘
Ukiiutunza mwili na akili rahisi sanaaa, na hii nilijingua na huu uwezo wa kukaa macho mda mrefu toka 2013 kuna kipindi nilikuwa nafanya mahala kazi za shift na nilikuwa napenda shift ya usiku unakuta wiki nzima silali maana natoka kazini asubuhi naingia na mambo mengine .. sema huwa nikitoka hapa kwenye ngwe hiyo lazima nipumzike kwa daraja la nyota tano ili ku recover 😀😀😀😀Duuh wewe ni noma aisee.
Me nikikesha kesho yake mchana nitakua hoiii jamani.
Una energy ya kutosha
Una nyweleee traamu una kasuri kakuzinguliwa alafu raha ukizinguliwa yaani unakuwa au basi 🔥🔥😒Yeye na King wakija uwaambie nimetimiza ahadi
Mamy wewe ni mzuri sana afu una sura ya upole na ukimya!!Ni shombe shombe wewe mzuri mnooooo!!Yeye na King wakija uwaambie nimetimiza ahadi
Zimefikaa, nasubiria simu yake hapa aniambie nimfate wapi lunch maana nina njaa😊Msalimie Big boy basi .. Muambie nampa hi
Hahahaa unajipongeza ka 5* safi sanaaaa😅Ukiiutunza mwili na akili rahisi sanaaa, na hii nilijingua na huu uwezo wa kukaa macho mda mrefu toka 2013 kuna kipindi nilikuwa nafanya mahala kazi za shift na nilikuwa napenda shift ya usiku unakuta wiki nzima silali maana natoka kazini asubuhi naingia na mambo mengine .. sema huwa nikitoka hapa kwenye ngwe hiyo lazima nipumzike kwa daraja la nyota tano ili ku recover 😀😀😀😀
😅😅😅 enzi zangu bwanaaa nilikuwa 🔥🔥🔥🔥🔥 5** na classic au basiHahahaa unajipongeza ka 5* safi sanaaaa😅
Kazi na dawa hapo
Raha jipe mwenyewe😅😅😅 enzi zangu bwanaaa nilikuwa 🔥🔥🔥🔥🔥 5** na classic au basi
Ahsanteeeee.Nimebanwa sana na kazi Mpenzi
sawa nikirudi nitaipiga picha nitakupostia
Nshakuja shouzzzzzz,shos nakutafuta kwa waziri mkuu njoo mara moja!!




Tobaaaaaah nimepitwaaaa lol.asanteeeeehhhhhhhh.... Very beautiful![]()
enzii hizo FIB kanikuta nimepunguza makeke nimekuwa kama ng'ombe mzeee 😅😅😅Raha jipe mwenyewe
Hata ukijiskia tu anytime unatoka zako na kaFIB mnaenda zenu kuenjoy😊😍
Life is too short kwakweli