Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wapo wengi tu, shida ni moja walio brand new wengi vitoto vya kishua, uswazi kukuta ni mtihani kwasababu wengi hali za kimaisha zina waingiza kwenye mahusiano wakiwa bado wadogo sana.. mie kuna kamoja kiduchu nikachukue hako sasa hivi kana fanya Degeree ya Medical Doctor nje awali kalikuwa kana diploma 😅😅😅 vya ushuani vingi bado
Umetoa code sasa, utasababisha mabaharia wakasumbue madogo wa kishua mtaani😅😅
 
Jile ya mama chaulembo sio ya kitoto,nyau alijua kutetemesha yule,tena atubu kabisa
tuliwahi furushwa sie. Tulikua watoto wa primary km zaid ya 20, 2009 hiyo tulienda mto fulan kukwaa samaki, bhana wee kufika sehem kuna mawe makubwa tukatulia kumbe wao aidha watu tyuuh walikua wanataka kututisha,

Bhana wakajitokeza na mifuko na panga kwa mbali, baadae wakaanza kusema kaeni hapo hapo wee tulivyojiacha hapo khaaaah, nilipita sehemu ina upupu nilijitumbukiza,

Nashangaa nipo shamban kwa mtu, upupu sisikii kuwasha wala nn, hapo nahema balaaa, upupu nimekuja kuusikia nyumban, cha moto nilipata, sitasahau. Mama chaulembo katukomesha yule mbwaaaa.
 
😅😅😅😅 Wakapambane ila watoto ambao hawajaguswa kabisa wengi wao ni maisha bora, ila uswazi kupata ni mtihani ingawa naamini wapo ila kipengele kuwapata .. ila ushuani kama kusukuma mlevi
Uswazi mambo mengi na kama ulivyosema hali duni za maisha watoto wanashawishika.

Ila ushuani sio rahisi kushawishika kwa vitu vidogo since almost kila kitu anakipata.
 
Uswazi mambo mengi na kama ulivyosema hali duni za maisha watoto wanashawishika.

Ila ushuani sio rahisi kushawishika kwa vitu vidogo since almost kila kitu anakipata.
Eeh! Kula wapo wa kumwaga kama ukivizia likizo likizo kuna maeneo yao sema ujipangeee tu kubadirika uendana na swaga zao bila hivyo imekula kwako 😅😅😅🤔🤔
 
Umetoa code sasa, utasababisha mabaharia wakasumbue madogo wa kishua mtaani
Umenikumbusha nyuzi za mwanaharakati wa kuvalisha pete vitu ambavyo bado kwenye makaratasi...Mambo yameshabadilika na kama anavyosema Baba Mchungaji hapo uswahilini huku vibinti vidogoo unakuta tayari mabaharia walishapita navyo. Labda huko kwenye mageti makali japo nako kwa hali ya sasa mh!

tuliwahi furushwa sie. Tulikua watoto wa primary km zaid ya 20, 2009 hiyo tulienda mto fulan kukwaa samaki, bhana wee kufika sehem kuna mawe makubwa tukatulia kumbe wao aidha watu tyuuh walikua wanataka kututisha,

Bhana wakajitokeza na mifuko na panga kwa mbali, baadae wakaanza kusema kaeni hapo hapo wee tulivyojiacha hapo khaaaah, nilipita sehemu ina upupu nilijitumbukiza,

Nashangaa nipo shamban kwa mtu, upupu sisikii kuwasha wala nn, hapo nahema balaaa, upupu nimekuja kuusikia nyumban, cha moto nilipata, sitasahau. Mama chaulembo katukomesha yule mbwaaaa.
Lile li mama lilishakamatwa,,nasikia walikuwa wanakata nyeti tu

Mungu atuepushe

Huo upupu umenikumbisha aisee,tukienda kuogelea mtoni wadau wanatia upupu majini aisee,ukimalza kuogelea utaomba ardhi ipasuke,
 
Back
Top Bottom