Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tena enzi hizo mtu akifika tu, cha kwanza anakagua simu. Kumbe mzee ushafuta kila kitu zamani

Ila nyie wanaume, basi tu
Ila mie simu yangu naweza kukuachia kabisa, nipo very smart kwenye simu .. na hauto kuta chochote toka nimeanza kumiliki simu nipo hivyo na nina namba moja tuu ... kwaiyo najiamini vibaya FIB namuachiaga anakaa nayo
 
yule mama nyinyi khaaaah katetemesha mji aseeeh.
Ndyooo uchi tyuuh na ngozi walikua wanachukua.

Kwa wanaume wanachukua kijojoro na mazende.
Kwa wanawake wanachukua kihebede na manyonyo

, mama chaulembo huyoooo
😳😳
 
Ila mie simu yangu naweza kukuachia kabisa, nipo very smart kwenye simu .. na hauto kuta chochote toka nimeanza kumiliki simu nipo hivyo na nina namba moja tuu ... kwaiyo najiamini vibaya FIB namuachiaga anakaa nayo
Basi uko vizuri, ila ndio inavyotakiwa ili msipeane stress na kuanza kumhisi vibaya mwenzako

Zamani nilikua tabia ya kupekua simu, hiyo siku nikakutana na nilichokua natafuta😂😂
Since then nikaapa sitogusa simu ya kiumbe yoyote, na nashukuru hilo nimefaulu
 
Simu yangu sinaga michezo, simu yangu ni kitu cha kuheshimika, sitakagi chart za kipuuzi na mtu, nakuwa mkali kabisa hata ma group sijawai kuwa nayo.. chart zangu ni fupi fupi sutaki story ndefuu sanaa, kwaiyo hata akikaa nayo sina wasi wasi kabisaa na apelenyue anapotaka hatokuta lolote
 
Umejijengea mazingira mazuri, mothing to hide.
FIB atakua anaishi kwa amani kama ni hivyo😅
 
Tayari nimefika mke❤
6D42211B-093A-4147-B94C-A05DFA9D179A.jpeg
 
Umejijengea mazingira mazuri, mothing to hide.
FIB atakua anaishi kwa amani kama ni hivyo😅
😅😅 Hakuna mwanamke niliwa ishi nae akanitilia mashaka.. na ngumu mie ni muaminifu sanaa linapokuja mtu kuniamini huwa nakuwa muaminifu..
 
Nguzo kuu ya mahusiano ni uaminifu then mengine yanafata

Uendelee kuwa good boy kwa FIB😍
She is too beautiful n young to suffer heartbeaks jaman, ukalinde😊
 
😅😅😅 acha kadeke kwa daddy wake.. aisee usiku mwema acha tujipange na ya kesho.. Big Boy anakusikilizia tuu eeh🤭🤭🤭 imagine tu
 
Back
Top Bottom