Hajaingia top 5 hata ..Hivi Emanurela Silayo hawakumwina kabisa?
Tutakudundaaa
Hahahaha nimecheka huko kwenye comment[emoji23][emoji23]kwanini wamakonde sijapenda[emoji23][emoji23][emoji23]
Nawe Makonde tukupongeze dada
Tumezidi kumfanya Mungu option aisee. Mungu atuhurumieNdiyo binti Abiud
Kwakweli wanasemaga kunawatu na wamakonde hahhahaHahahaha nimecheka huko kwenye comment
Ntwara kuchele
Wanastahili sana..nijuavyo mimi kuna Wamakonde wapo ni visu hatari sanaNatamni kujua tu hakustahili kwani??na kwa kigezo kipi hakustahili??
Ooh kweli
Lakini amekuwa ameshinda kipengele cha chaguo la wananchi/waliompigia kura mitandaoniHajaingia top 5 hata ..
Wamemnyima miss wetu toka Mzumbe
Hahaha balaa [emoji23]Kwakweli wanasemaga kunawatu na wamakonde hahhaha
Ooh yeah miss popularityLakini amekuwa ameshinda kipengele cha chaguo la wananchi/waliompigia kura mitandaoni
π€£π€£π€£π€£Ili iweje?
Mimi nimeona pia kastahili ndo maana kawa mshindi pia huenda kakidhi vigezo kuanzia kambini Hadi inafika siku ya mashindano...sema nahis kunasehemu iliandikwa miss atoke wapi maana sio kwa comment hizo kwenye mitandaoππππWanastahili sana..nijuavyo mimi kuna Wamakonde wapo ni visu hatari sana
Lakini mashindano yetu bado tuko nyuma sana.Ooh yeah miss popularity
Basi Mmakonde rafiki yangu ukaumia?π πMimi nimeona pia kastahili ndo maana kawa mshindi pia huenda kakidhi vigezo kuanzia kambini Hadi inafika siku ya mashindano...sema nahis kunasehemu iliandikwa miss atoke wapi maana sio kwa comment hizo kwenye mitandaoππππ
Lakini mashindano yetu bado tuko nyuma sana.
Niliona mapungufu mengi sana kwa contestants..mwenfo wenyewe ni dhida miguu migumu unaona kabisa amejifunzie kambini..hili ni tatizo...uwekezaji unahitajika mapema sio wakati wa mashindano pekee.
Basi Mmakonde rafiki yangu ukaumia?[emoji28][emoji28]
Shkamoo dada ππNingewapa menuβ¦ tatizo hamsalimiagi watu ππ
View attachment 2232634
Hizo comment za wabongo sasa ππ
Hahaha nomaHizo comment za wabongo sasa [emoji2][emoji2]