NipoooooUmelala
ππππ watu wabayaaa, wanafata hatua kwa hatuaa utazikuta picha zimezagaaa ndio tutajua hatujuiii hapo.. tunaweza hama inchi tukarudi baada ya miaka 12Jaman umenikumbusha mbali hayo magazetiπ€£π€£π€£
Shilawadu sio watu wazuriii
Khaaa mbona ubabe huo jamanππππππ Kila mtu kalala chumbani kwake.. wafalme wanalala na wenza wao kipindi maalumi tu sio kila siku πΊπΊπΊπΊπΊ na kamezoe tayari kila mtu kulala gheto lake mshari anamfata mwenzake mkiona hakuna kufatana basi fresh π π π π
Kama gari zinapanda hapo gudiii maana nna allergy na kupanda milimaπGari zinapanda vizuri πππ baridi lipo kali sana.. napapenda ikifika usiku kunakuwa na giza moja matataaa sanaaa hadi rahaaa alafu kimyaaaa πππ hapo huwa naenjoy sana
πππ Kulala kwenye kitanda peke yako kuna noga sio kila siku mnalala wawili.. lazima kuwa na home na ugenini π π πKhaaa mbona ubabe huo jamanπππ
Me Big boy naskia ananiita hapa so soon namjoin
Na saiv mambo ya mitandao dk 0 kila kona habari zimesambaaππππ watu wabayaaa, wanafata hatua kwa hatuaa utazikuta picha zimezagaaa ndio tutajua hatujuiii hapo.. tunaweza hama inchi tukarudi baada ya miaka 12
Miezi hii ya baridi kulala kwenye tent ni changamoto;. Labda ubebe na mablanket yako. Nilijuta na nilivyo na kibaridi mimi, au labda huko hakuna baridi kihivyo na usiwe muoga wa baridi kama mimiThe view is breathtakingπ
Na sijawah lala kwa tent, itakua bonge moja la adventure... can't waitπ
Kama vipi tuanzie huko, nimefall inlove napo tayari. Mapemaa naweka booking
Hapo ni wewe tu na roho yako japo legal maximum speed ni 70 miles/h na state troopers wapo na unmarked cars kila kona lakini utaziona njemba zinakanyaga mpaka 120 miles.....Mkekaa unanitoa udendaa sanaa ...
Nilitoka. Asante though. Siyo bahati yangu leo!Baki hapohapo
ππππ Utashangaaa unapigiwa simu na Soud Brown kutoa majibu na maswali π πNa saiv mambo ya mitandao dk 0 kila kona habari zimesambaa
Basi me kulala mwenyew naona tabu, nishazoea kampan ndio nalala vzuri kwa amaniπππ Kulala kwenye kitanda peke yako kuna noga sio kila siku mnalala wawili.. lazima kuwa na home na ugenini π π π
Me baridi naiogopa na hua ikiwa kali mwili unawasha navimba kama vile nimetembelewa na mdudu.Miezi hii ya baridi kulala kwenye tent ni changamoto;. Labda ubebe na mablanket yako. Nilijuta na nilivyo na kibaridi mimi, au labda huko hakuna baridi kihivyo na usiwe muoga wa baridi kama mimi
Wewee!Huko wao hawakati miti?
Mie nilikua najuaga, hakna miti, yaan kupo wazi tyuuh.
πππ hatariππππ Utashangaaa unapigiwa simu na Soud Brown kutoa majibu na maswali π π
Hakuna siyo pazuri wala nini pa kawaida tu. Naona huko Sakina kuko poa zaidi...I am sure uliinjoi sana bageshi....Kule sijawah kufika, nilikua napaskia tu. Nako kuzuri eeh?
Hii ipo maeneo ya Sakina
Yeah bageshi i had a great time kwakwel, mazingira mazuri... pasafiiiiHakuna siyo pazuri wala nini pa kawaida tu. Naona huko Sakina kuko poa zaidi...I am sure uliinjoi sana bageshi....
Yaani hadi tent linavuja vimaji; hamu yote kushney. Imefika asubuhi wenzangu wote wameamka, nikawaambia mimi mniache tu kwanza niendelee kujikunyata daah.Me baridi naiogopa na hua ikiwa kali mwili unawasha navimba kama vile nimetembelewa na mdudu.
Saivi najitahidi kuepuka kusafiri mikoa ya baridi maana mziki wake nauelewa ni mateso unalala na nguo mia miaπ
Hivyo vimaji vikikugusa hee si ndio inazidisha baridi.Yaani hadi tent linavuja vimaji; hamu yote kushney. Imefika asubuhi wenzangu wote wameamka, nikawaambia mimi mniache tu kwanza niendelee kujikunyata daah.
Muda huu ujikute tu upo Mbeya au Njombe mweeeeeeej
Ooh AsanteKanzu langu usilinange kipenzi chake goroko 77
View attachment 2232386
Tinsley
View attachment 2232389