Heaven Sent msaada huku!!Jaman kuna rafiki angu wa utotoni anaolewa, sasa nimealikwa,
Japo huwa sipendelei kuhudhuria harusi, ila hii lazima niwepo na nimepania kufunika kwa mavazi na muonekano.
Naomba mnichagulie rangi ambayo nikivaa na kwa mshono husika nitawaka hatareee. Na mshono wenyewe ni huu kwa picha. Yaan nataka nitoke km hivyo had hiyo kofia hapo,
Mnichagulie rangi, hii nyeupe sijaitaka. Nataka ingine mie. Haya naombeni msaada wenu.
Serious yaan..
View attachment 2232302
Haya mkuje mwali wenu anatka kuwaka[emoji3059]Jaman kuna rafiki angu wa utotoni anaolewa, sasa nimealikwa,
Japo huwa sipendelei kuhudhuria harusi, ila hii lazima niwepo na nimepania kufunika kwa mavazi na muonekano.
Naomba mnichagulie rangi ambayo nikivaa na kwa mshono husika nitawaka hatareee. Na mshono wenyewe ni huu kwa picha. Yaan nataka nitoke km hivyo had hiyo kofia hapo,
Mnichagulie rangi, hii nyeupe sijaitaka. Nataka ingine mie. Haya naombeni msaada wenu.
Serious yaan..
View attachment 2232302
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] kweli nipo single mie,Mmmh
Bora niseme mimi
Coca huna shughuli ndogo wewe [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndyoooooohHaha ngoja nikufanyie mchakato kwakweli genye ni Hatari kwa afya ya akili na mwili!
Wee shouzzzzzz, vipi maoni yako.Heaven Sent msaada huku!!
Hahaha haya coca[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] kweli nipo single mie,
Kweli subiri kwanzaOoh Asante
Style nzuri kweli ngoja nywele iote kwanza then nisuke hii maana nimeretouch siku si nyingi
Jamani jamani mbona balaa sasa!!🙆🙆🙆🙆🙆[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ndyooooooh
Shangazi toa maoni yako nawee.Haya mkuje mwali wenu anatka kuwaka[emoji3059]
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani jamani mbona balaa sasa!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kasema haina shida, anytime twende tu😀😀 Big boy eeeh muombe ruhusa basi tukatembee Arusha
Ngoja my wangu Kuna karangi nakapendaga mno na hakakatai mtu ngoja nione km ninapichaShangazi toa maoni yako nawee.
Serious mnisaidie.
Ah utadamshi siku hiyoJaman kuna rafiki angu wa utotoni anaolewa, sasa nimealikwa,
Japo huwa sipendelei kuhudhuria harusi, ila hii lazima niwepo na nimepania kufunika kwa mavazi na muonekano.
Naomba mnichagulie rangi ambayo nikivaa na kwa mshono husika nitawaka hatareee. Na mshono wenyewe ni huu kwa picha. Yaan nataka nitoke km hivyo had hiyo kofia hapo,
Mnichagulie rangi, hii nyeupe sijaitaka. Nataka ingine mie. Haya naombeni msaada wenu.
Serious yaan..
View attachment 2232302
HakikaKweli subiri kwanza
Tuta enjoy 😊😊Kasema haina shida, anytime twende tu
Wacha wee.Na mama baeView attachment 2232305
Nawee toa maoni bhanaa, ndo maan nmeleta hapa, mnisaidie.Ah utadamshi siku hiyo
Ngoja waje kukupa mwongozo
Fanya hivyooo yaan.Ngoja my wangu Kuna karangi nakapendaga mno na hakakatai mtu ngoja nione km ninapicha
Shangazi toa maoni yako nawee.
Serious mnisaidie.