Ooh kumbeYaan i wish kweli ila hiyo ya pili ni kucroch naskia ukisuka zinauma kweli
MC nipo hapa, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Hahaaa
Jimbo linataka mume sio boyfrienda[emoji23][emoji3]
Watu wanatakiwa wale wali humu,tuna mc,na cataring yaani full
Ah sahihi
Ila kukusanyika mahala pamoja ni vyema hata biblia imesisitiza, kuna umuhimu wa cooperate anointing ambayo huwezi ipata popote isipokuwa kwenye gathering ya wana wa Mungu. Ila sio formula kwamba ni lazima.. ila ni vyema unapo enda unaweza wasaidia wengine au wewe pia kupata kituMpendwa!
Nilishapita level za mapokeo, sijui nn huko siwezi yaani!au kumtegemea mtumishi...makanisa mengine hawakunielewa waliona sitaki kumtegemea mchungaji km nabeza hivi[emoji3]kumbe wala!
Mie hata kanisani huwa naona uvivu kwenda!
Sioni kile ambacho Mungu anataka,eti unahubiri unamaliza hakuna kuwaambia watu habari za wokovu,waje kwa Yesu? Halafu unasema ulikuwa ibadani?[emoji848]no!
Acha nipambane na hali yangu nipewe maelekezo ya nilichoitiwa!
Chumvi chumvi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo ilikua ni hatareeeh.UIlikuwa wapi jmn
Kungwi pia [emoji2956]MC nipo hapa, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Nakuaminia shouzzzzzz akeHahaha [emoji8][emoji8]
Mungu ni mwema,nashukuru kuna dawa nimetumia,limepoa kabisa,Ah sahihi
Watu washajipanga kukesha hao
Vipi jino ? Hope waendelea vyema sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumsubiri.Bado hajatupia!!Fanya kumuita aje
Ah umepona hapoMungu ni mwema,nashukuru kuna dawa nimetumia,limepoa kabisa,
Natafuna hadi mahindi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kungwi pia [emoji2956]
Upo vyema
Yeah utakua hivyoAh poleni
Itakuwa wamefanya deal na hao Miss Tanzania
Kama BSS pia
Hiyo inaitwa Braids CrochetOoh kumbe
hiyo nywele ya crotchet inaitwaje ?
Crotchet inategemea na msusi anavyoweka sindano ile na kutoa ila baada ya hapo maumivu ni kama hamna .
Anza na hii ya crotchet hakika utapendeza mno
Mizagamuo[emoji1787]Mada za namna hii zina kupendeza sana kuliko zilee za mizaga.. sijui nini
Wenzenu wanadownload startimes onWametukatili ambao hatuna startimes