Selelii aandaa mkutano mkubwa kumpongeza Mpendazoe!

Huyu nae anatafunwa na mdudu mtu aliyemtafuna mpendazoe, muda wote alikuwa kamanda wa ufisadi sasa anatapatapa,hana jeuli kwa kijana husein bashe naona sasa kaanza ku bwatabwata hiyo yote ni kujiami kwa chaguo la wana nzega jipya.
Huu ni wakati wa vijana wazee watuachio ccm yetu wamfuate mpendazoe.

Nina wasiwasi kama kweli wewe ni kijana na una uchungu na nchi yako kama ndio kwanza unatetea CCM. Au wewe ni mmoja wa hao makamanda?

Halafu hii JF ni ya "thinkers" (some of us are not so great), sasa wewe "ilitret" young boy wafanya nini humu?
 
Huyu si ndiye gazeti la Uhuru la leo limemquote akisema kwamba Mpendazoe amejichimbia kaburi? Au Uhuru lilimtafuta makusudi kumuhoji na kisha kupotosha? Nani mkweli, Selelii au gazeti la Uhuru la leo?


yaani sijaamini wewe bado unasoma ile takataka ya UHURU

GAZET LA CHAMA UNATARAJIA NINI!!!
 
Safi sana,ila CCM sasa wanachezewa kama watoto.

Yaani jama kasimika makamanda wa CCM at the same time anaampongeza mtu muhimu aliyejitoa,lol
 
Hivi kesho si ndo leo? Ni nini kimejiri katika huo mkutano?
 
Mzee wa Nzega tunasubiri update yako kwa hamu sana.
Tulipofika ni pazuri sana maana ndani ya miezi mitano kuanzia sasa tutashudia mengi na ikibidi watu wengine wanaweza kupotezwa.
Yangu macho.
 
yaaani kwa jinsi mambo yalivyo taiti kwa CCM ni sawa na timu amabyo beki hazikabi basi kipa anahangaika kila dakika mipira inagonga besela..hahaaaaaaaa CCJ mnanipa raha vibaya sana
 
Nimegundua hili KAPU linloitwa CCM linavuja tena si kwa mtindo wa ndondo bali hii ni chururu. Na sasa ipo wazi kwa nini CCJ hili kapu jipya linakutana na vikwazo vingi " it's amazing things" kumbe kweli wafuasi wa KAPU hili jipya ni vigogo, kwa post hii sina utata tena. Kaka ZYANSIKU tunasubiri kwa hamu yatakayojiri hapo tafadhali.
 
Poleni sana wana JF kwa kusubiri updates zangu juu ya nzega, nilipata family problems nikawa mbali sana na mawasiliano ya Internet ndo kwanza nimeingia mjini kati. infact kile kikao cha selelii hakikufanyika tena na kiliahirishwa na ghafla na jamaa siku hiyo akaondoka ghafla kuja Dar hadi ninavyoandika Mh yupo dar na wasaidizi wake hawatoi sababu za msingi kwa nini mkutano wa kutangaza nia uliahirishwa
 
Poleni sana wana JF kwa kusubiri updates zangu juu ya nzega, nilipata family problems nikawa mbali sana na mawasiliano ya Internet ndo kwanza nimeingia mjini kati. infact kile kikao cha selelii hakikufanyika tena na kiliahirishwa na ghafla na jamaa siku hiyo akaondoka ghafla kuja Dar hadi ninavyoandika Mh yupo dar na wasaidizi wake hawatoi sababu za msingi kwa nini mkutano wa kutangaza nia uliahirishwa


OK Zyansiku,

Endelea kufuatilia mwenendo wa huyo Mwanasiasa, najua kwa hapo nzega anachallenge nyingi sana ndani ya CCM

Wasalimie wa Nyasa, itobo na kwingineko
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mpenda kuzoa chama chochote unakimbia ulaji wa bureeeeeeeeeeee sisiemu sasa ona sisijei kilivyo kwani nani hajui ni cha lowasasa
 
Back
Top Bottom