Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,769
- 10,650
Haya ni mawazo mgando katika karne ya sayansi na technologia. Majanga na ajali vinazuilika au labda basi inawezekana kuweka tahadhali na mifumo ya kupunguza madhara. Ndiyo maana kuna vyombo vya ku detect mitikisiko ndani ya maji na vimbunga na tsunami ndani ya bahari ili ikitokea basi watu watahadhalishwe mapema waende sehemu salama. Ndiyo maana watu wanaoishi katika fault line za matetemeko wanashauriwa mapema namna ya kujenga nyumba zao kuepuka madhara ya tetemeko likitokea ghafla. Ndiyo maana watu wanafundishwa katika sehemu zenye uwezekano wa kutokea ajali na milipuko kutambua hazzards na kuweka mipango ya ku punguza au kuondoa kabisa madhara. Kuna hazzard audits zinafanywa, inspections. Kunapaswa katika sehemu kama hizi wawepo wataalamu wanaoshughulika na kutunza usalama na committees na ukaguzi wa mara kwa mara na ripoti zake. Kama mabomu yalikwisha expire sasa kwenye maghala yalikuwa yanfanya nini?
Mchangiaji mmoja amesema expiery sio tu kwamba hayatalipuka lakini ni kuwa yanaanza ku mis behave kama ilivyotokea. Use your analytical part of brain brother usije ukatuletea ya REDET!!!!
Wewe ndio unatakiwa kufanya analysis ya kutosha. Upeo wako finyu sana. Yaani unaongelea teknology za kudetect kabla? kwa bajeti ipi ya ulinzi? Si kuna mbunge alihoji kwa nini jeshi linanunua silaha wakati hakuna vita? Kimsingi tuna tatizo na baadhi ya wawakilishi wetu. Unajua bajeti ya ulinzi ya Marekani, UK, na nchi nyingine zilizoadvance ki-tech? Unalinganishaje ya bajeti ya nchi yako? Use your common sense boy.
Na huyo mkenya wenu (your authority) nimempenda sana. Hivyo ndivyo uzandiki unavyofanya kazi. Kama wao wako stable namna hiyo iweje basi ndege ikoswekoswe kwenye uwanja wao wa ndege? Huyo yuko kazini kujaribu kubuy cheap minds kwa ajii ya taifa lake. Na kwa watanzania ambao hawawezi kuona traps rahisi tu kama hizo tayari wameshatengwa na jeshi lao kipuuzi kabisa. Thank God hayajalipuka Kenya kama ilivyotokea kwa nchi nyingi nyinginezo. Vinginevyo huenda madhara yakawa mabaya zaidi kuliko hapa kwetu. Hawa wanawahamasisha wananchi ili kuvuruga sera nzuri tu za ulinzi. Haya bana, Ondoeni majeshi yote Dar, ibaki Lugalo tu halafu muendelee kuinjoi peace and harmony.
It takes a genius to know the genious............................ Nimemsahau aliyesema!
PEACE BE WITH YOU ALL>