Na walikuwa hawaambiliki...kudadadekii wacha tusome mpaka namba za siri...Hawakujua wanashangilia niniView attachment 373322
Makao makuu inasomeshwa nambawananchi wananyooshwa haswa.
Hongera kwa taarifaUkitaka uhuru jenga Nyumba yako
Mie karaha kama hizo nilisha zikataa
kama wewe maana hata uelewi unachangia nini. Soma vema ujue kinachoongelewa hapa. Acha kupanick.Kumwamisha mtu kuna taratibu zake acheni kusifia ujinga pia kumbuka kuna watu hata nauli ya kwenda dodoma hawana je ya kupanga, ya kuhamisha familia atatoa wapi ya ni wajinga ndio wataona sawa na wale wenye roho ya kichawi
Mmm loadingWalipewa notice ya kuhama siku nyingi sana ila mazoea ndo shida. Walijua na huyu nae Mzee wa msoga kumbe huyu akisema moja basi iandikwe moja. Mbona wengine tulihama?
Hahaaaaa nikimuona magufuli jinsi alivopiga push up sehemu isiyo husika nikajua kitu kiko wrong aisee. Acha tuisome number hamna namna.Hawakujua wanashangilia niniView attachment 373322
Hii ni kutokana na tetemeko la ardhi na kibunga kikali. Poleni. Mtazoea.Hao waliondolewa wapelekwe makutupora huko wakapange upya au wajengewe mahema
Haaahaaaaa! uwiii, hivi wewe huwa unafikiria nini?! jamani kweli hii picha na matukio yanayoendelea sasa, napendekeza hii picha ndio ingetumika kwenye maofisi ya serikali, hii ndio iwekwe fremu ikae ukutani. Dodoma wameonja nguvu ya mkuu.Hawakujua wanashangilia niniView attachment 373322