fathergetho
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 1,550
- 914
hawezi akawatetea kwasabab wengi wao ni vibalakaTena Dodoma walimpa kura nyingi sana udiwan ubunge na urais wataisoma namba
hawezi akawatetea kwasabab wengi wao ni vibalakaTena Dodoma walimpa kura nyingi sana udiwan ubunge na urais wataisoma namba
wanaweza wakafanya ivyo si unajua thamani ya binadam imeshukaEbwane umefika Mbali sana.
Sina maana hiyo Mkuu, na kiuhalisia haijakaa vizur lakini watu wenye pesa wamekuja na wanahitaji Nyumba za kupanga, na inawezekana waishapata oda ya wanaohama Kutoka Dar, na wenye Nyumba(CDA), wapo kimaslahi zaidi na hapo ndipo pakupigiapo pesa.tathmini ingekuwa wewe unafanyiwa hivyo
dah mkuu ila nchi hii kama vile inaendeshwa na watoto...tunaendeshwa kwa amri za kila kiongozi anapoamka tu anakuja na tamko na kwa jinsi hofu ambazo viongozi wengi wamejengewa kwa kuogopa kufukuzwa kazi nao wanatenda pasipo ya kutafakaliSina maana hiyo Mkuu, na kiuhalisia haijakaa vizur lakini watu wenye pesa wamekuja na wanahitaji Nyumba za kupanga, na inawezekana waishapata oda ya wanaohama Kutoka Dar, na wenye Nyumba(CDA), wapo kimaslahi zaidi na hapo ndipo pakupigiapo pesa.
tena bust it openWhen Ccm fucks t fucks for real
Haiwezekani wakawatimua tu, yawezekana walishaambiwa na wanajua wakawa wagumu kutekeleza, kama itakavyokuwa kwa wale ambao hatutaenda Dodoma end of the month kukawa hakuna mshahara mtasema ni unyama. Ya kaisari mpe kaisari, the rule of the world
Ndiyo hivyo Mkuu, kila mmoja analinda kitumbua chake kisiingie mchanga, full uoga mpaka aibudah mkuu ila nchi hii kama vile inaendeshwa na watoto...tunaendeshwa kwa amri za kila kiongozi anapoamka tu anakuja na tamko na kwa jinsi hofu ambazo viongozi wengi wamejengewa kwa kuogopa kufukuzwa kazi nao wanatenda pasipo ya kutafakali
Kila waziri ananyumba na ofisi Dodoma jaribu kutuaminisha kitu ulicho na uhakika nachoNilimuona Mh. Godless Lema jana akisimama na wananchi waliowekewa 'X' kwenye nyumba zao jimboni mwake, vipi nasikia hapo Dodoma kura zilikuwa nyingi ...mbunge wao yuko nao!?
Vipi hizo ndizo zitakuwa nyumba za mawaziri badala ya zile za Mikocheni au ni kwa ajili ya makatibu wakuu na wakurugenzi!? Tujuzeni wenye kujua.
Hii siyo taarifa ya kushtusha.. kwani muda waliokuwa wamepangiwa kuondoka kwa hiari umekwisha pita..
Kila waziri ananyumba na ofisi Dodoma jaribu kutuaminisha kitu ulicho na uhakika nacho