Dodoma
Kahama
Kagera
Singida
Hio mikoa ndio imemueka Magu
Namba wanazisoma wao
ikulu ya dar inapigwa mnada.Nasikia hapo wanataka kupafanya Ikulu....
Hizo ni propaganda tu. Nimewahi kuishi pale. Kama tatizo ni kutokulipa kodi basi wawaondoe waondolewe wasiolipa kodi. Sasa mbona wanawaondoa wote waliolipa na wasiolipa.Hawa hata kodi walikuwa hawalipi vizuri....
Bora tu waondoke .. Ile kesi waliyofungua mahakamani ni kaa la moto
Kuhamiaafadhali tunapata pa kuamia tukitinga Idodomyaaa