Naona una ushahid zaidi. Hebu tupia picha tuoneHao askari mbona hawaonekani, acha umbea kulichafua jeshi la polisi, watu wanahama wenyewe
Rais wetu anafanana na rais wa uturukiNi tukio la aina yake, Wapangaji wa Nyumba za CDA maarufu kama "Maghorofani" manatimuliwa muda huu, hii inatokana na lile Tangazo la hivi karibuni lililodai CDA wanataka kufanya ukarabati
Polisi wamejaa, ni taharuki tupu, hata kama mpangaji haupo wanavunja mlango vitu vinatolewa.
View attachment 373292View attachment 373293View attachment 373294View attachment 373290
View attachment 373288
Kwani unadhani wanashindwa,watu hawajaribiwi,na anaetaka kujaribu ajaribu aoneEbwane umefika Mbali sana.
Acha wanyooshswe hakuna vimbelembele Kama watu wa dom huwa wanajifanyaga Damu Yao ya kijani!wananchi wananyooshwa haswa.
Hawa jamaa walishapewa notisi muda mrefu wakaenda mahakamani lakini mwenye nyumba (CDA) aling'ang'ania kuwatoa kwenye hizo nyumba. Ila sababu ya kuwatoa haifahamimiki ni ipi.
Watu wa real estate,huu ndo mda wa kutengeza pesa hapo dom,hata uweke jengo la orofa 50 ,litajaa tu
Una uhakika!? Je Notice miez mi 3 walipewa?Hawa hata kodi walikuwa hawalipi vizuri....
Bora tu waondoke .. Ile kesi waliyofungua mahakamani ni kaa la moto
Je Tanzania mshtakiwa ana Uhuru wa kuamua kufanya lolote kwa shitaka aliloshtakiwa mahakamani ambalo halijatolewa. Hukumu?Hawa jamaa walishapewa notisi muda mrefu wakaenda mahakamani lakini mwenye nyumba (CDA) aling'ang'ania kuwatoa kwenye hizo nyumba. Ila sababu ya kuwatoa haifahamimiki ni ipi.
Je vifungu vya sheria vya Tanzania vinamruhusu Mshtakiwa kufanya maamuz nje ya mahakama? Yaani kuamua lolote lile alitakalo katika shtaka ambalo halijatolewa maamuzi? Au kuna watu wapo juu ya sheria kuliko watu wengine!? Bado najiuliza sana ila sipati jibu maana hii ukweli si haki ikiwa shtaka lipo mahakamani walichptakiwa ni kuishinikiza mahakama kutoa maamuz kwa wakati ili haki itendeke kwa mshtaki na mshtakiwa otherwise ni mizuka tu na haraka ya kuhamia Dodoma ndo zinawafanya wavunje haki za binadamuHawa jamaa walishapewa notisi muda mrefu wakaenda mahakamani lakini mwenye nyumba (CDA) aling'ang'ania kuwatoa kwenye hizo nyumba. Ila sababu ya kuwatoa haifahamimiki ni ipi.
Na hakuna kuandamanaeeee ccccmmmm mbele kwa mbeleeee....Dodoma mnasemajee tumejipanga....Wachaaa waisome nambaeee ccccmmm mbele kwa mbeleeeee