Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,619
Hao polis wako wap mbona kama umekuza mambo, sidhani kama watu wenye akili watakuta mtu hayupo halafu wavunje mlango, vinginevo wawe wamempa notis afu ajichetue atoke wakati anajuaNi tukio la aina yake, Wapangaji wa Nyumba za CDA maarufu kama "Maghorofani" manatimuliwa muda huu, hii inatokana na lile Tangazo la hivi karibuni lililodai CDA wanataka kufanya ukarabati
Polisi wamejaa, ni taharuki tupu, hata kama mpangaji haupo wanavunja mlango vitu vinatolewa.
View attachment 373292View attachment 373293View attachment 373294View attachment 373290
View attachment 373288