Seif foundation Lengo kuu ni kuenzi fikra za Hayati Maalim Seif... Vipi kuhusu kuenzi fikra za Magufuli?

Kaletwa? Mbona alisema alikua anajaribu akasukumiwa huko 🤣🤣🤣
Kumbuka alipewa ilisemekana kwamba kaletwa na Mungu kuliokoa Taifa letu..... Yaan mtu aliyeletwa kwa kazi maalumu duniani... tunashindwa kutambua fikra zake kwa kuzienzi ktk namna ya heshima na endelevu.
 
Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma)

Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana..

Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr JPM... Vipi kuhusu mkakati wa kuzilinda Fikra zake, je WanaCCM, Watanzania, Wanaharakati, Wanasiasa, Wanazuoni, na wengineo wote hawajaona umuhimu wa kuzienzi fikra za JPM..
Je, ni vyema tukaziacha fikra zake pia ziendezake?

Au labda mm nimepitwa na Mpango ama mkakati huo wa kuenzi fikra za JPM itakuwa vyema nikataharifiwa na yeyote anaeujua...

Kwan Heshima aliyokuwa akipewa kila kona ya Nchi hii kipindi cha uhai wake hazikutokana na uhodari wa fikra zake ktk kuliongoza taifa hili??

Kama ni kweli fikra zake zilikua hodari ktk kutatua changamoto za taifa hili kwnn zisitafutiwe namna bora ya kuenziwa??
Duuh,kwahiyo ianzishwe magufuli foundation kwa sababu kuna seif foundation iko kwenye mchakato 🤣🤣🤣

Wasukuma bhana wanapenda sana ligi,lakini si kuna stand ya Magufuli mbona inatosha kabisa kumuenzi
 
Ba
Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma)

Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana..

Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr JPM... Vipi kuhusu mkakati wa kuzilinda Fikra zake, je WanaCCM, Watanzania, Wanaharakati, Wanasiasa, Wanazuoni, na wengineo wote hawajaona umuhimu wa kuzienzi fikra za JPM..
Je, ni vyema tukaziacha fikra zake pia ziendezake?

Au labda mm nimepitwa na Mpango ama mkakati huo wa kuenzi fikra za JPM itakuwa vyema nikataharifiwa na yeyote anaeujua...

Kwan Heshima aliyokuwa akipewa kila kona ya Nchi hii kipindi cha uhai wake hazikutokana na uhodari wa fikra zake ktk kuliongoza taifa hili??

Kama ni kweli fikra zake zilikua hodari ktk kutatua changamoto za taifa hili kwnn zisitafutiwe namna bora ya kuenziwa??
Badala ya kuongelea Benjamini mkapa unaongelea lile liuaji. Limeacha mauji tu namateso kwa wapinzani na akina membe tu.
 
Limkapa kwani halijaua ? Yote ni mi jesuit miuaji pamoja Na kinara wao Laanatullahi Nyerere
 
Magufuli alikuwa ni Raisi wa bahati mbaya, na ni kwasababu ya CCM infighting, hana chochote zaidi ya kurudisha Ukabila na Chuki dhidi ya Watanzania wenye mtizamo tofauti.

Membe mwenyewe kayaanika kuwa alikuwa ni mwenye roho mbaya.

Bogus kabisa yule.
Nami nilikuwa najiuliza hapa huyo kiongozi wa awamu ya 5 aenziwe kwa lipi haswa?
~ CHUKI
~ KIBURI
~ KWA UNYUKI WAKE
~ HOFU ALIYOITENGENEZA NCHI NZIMA
 
Mimi hata ilifikia nikaanza kuhoji Utanzania wake,maana alikuwa hana tabia za Kitanzania,Viongozi wa dini kama kina Niwemugizi walipohoji wakatumiwa Uhamiaji

Alikuwa na tabia za kutukana Wanawake mbele ya hadhara na kuwadhalilisha

Alipokufa nilisheherekea,msema kweli mpenzi wa Mungu.

Huyu Bibie anatabia za Kitanzania ila kaambukizwa kidogo na yule Mbwiga.
 
Kuna watu mpaka leo wanashangaa usomi wake aliofundishwa kwa Kiingereza wakati yeye sentensi alikuwa azivunjavunja.

Ameumiza watu wengi bila sababu za msingi, akaleta na ukabila, na utawala wa kiimla wa kutembea na mabulungutu ya hela za kodi ya umma.
Ulikosa teuzi kwa sababu ya kabila lako au kazi?
 
Mimi hata ilifikia nikaanza kuhoji Utanzania wake,maana alikuwa hana tabia za Kitanzania,Viongozi wa dini kama kina Niwemugizi walipohoji wakatumiwa Uhamiaji

Alikuwa na tabia za kutukana Wanawake mbele ya hadhara na kuwadhalilisha

Alipokufa nilisheherekea,msema kweli mpenzi wa Mungu.

Huyu Bibie anatabia za Kitanzania ila kaambukizwa kidogo na yule Mbwiga.
Acheni uongo huyu wa sasa hata mbegu hazitaki jee hana chuki na wanaume?
 
Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma)

Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana..

Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr JPM... Vipi kuhusu mkakati wa kuzilinda Fikra zake, je WanaCCM, Watanzania, Wanaharakati, Wanasiasa, Wanazuoni, na wengineo wote hawajaona umuhimu wa kuzienzi fikra za JPM..
Je, ni vyema tukaziacha fikra zake pia ziendezake?

Au labda mm nimepitwa na Mpango ama mkakati huo wa kuenzi fikra za JPM itakuwa vyema nikataharifiwa na yeyote anaeujua...

Kwan Heshima aliyokuwa akipewa kila kona ya Nchi hii kipindi cha uhai wake hazikutokana na uhodari wa fikra zake ktk kuliongoza taifa hili??

Kama ni kweli fikra zake zilikua hodari ktk kutatua changamoto za taifa hili kwnn zisitafutiwe namna bora ya kuenziwa??
Fikra zipi ? Ujenzi wa barabara na Chato utaandika kurasa ngapi?
 
Mkuu mipango Iko mbioni usijali.
 
hapo kwenye marafiki... nadhan huyu ndiye Raisi ambaye alionyesha kuwa na kundi kubwa la wafuasi akiwa kiongozi... unadhan wale wafuasi wake endapo wakitaka kuzienzi fikra za Hayati, watakosa nguvu ya kuishawishi familia... mm nadhan familia n lazima itatoa baraka tu
Magufuli alikuwa ni Raisi wa bahati mbaya, na ni kwasababu ya CCM infighting, hana chochote zaidi ya kurudisha Ukabila na Chuki dhidi ya Watanzania wenye mtizamo tofauti.

Membe mwenyewe kayaanika kuwa alikuwa ni mwenye roho mbaya.

Bogus kabisa yule.
Bila Shaka mleta Uzi atakuwa mjane wa mwendazake.
 
Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma)

Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana..

Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr JPM... Vipi kuhusu mkakati wa kuzilinda Fikra zake, je WanaCCM, Watanzania, Wanaharakati, Wanasiasa, Wanazuoni, na wengineo wote hawajaona umuhimu wa kuzienzi fikra za JPM..
Je, ni vyema tukaziacha fikra zake pia ziendezake?

Au labda mm nimepitwa na Mpango ama mkakati huo wa kuenzi fikra za JPM itakuwa vyema nikataharifiwa na yeyote anaeujua...

Kwan Heshima aliyokuwa akipewa kila kona ya Nchi hii kipindi cha uhai wake hazikutokana na uhodari wa fikra zake ktk kuliongoza taifa hili??

Kama ni kweli fikra zake zilikua hodari ktk kutatua changamoto za taifa hili kwnn zisitafutiwe namna bora ya kuenziwa??
Fikra za Maghufuri ndio zipi?
Alisimamia nini?zaidi ya chuki binafsi
 
Ipo haja ya kukumbuka fikra zake JPM, binafsi namkubali katika suala la UTHUBUTU na pia kuwa VISIONARY.

Japo alikuwa na mapungufu yake pia. Apumzike kwa AMANI Mzee wetu.
 
Back
Top Bottom