Sehemu za Massage ziangaliwe kwa umakini mkubwa

Sio kila kitu serikali iangalie, kama mtu mzima na timamu kaamua kwenda masaji rooms ni utashi wake umehitimisha hivyo provided hamna mtu aliyelazimishwa kwenda huko.

Hatuwezi wote kuishi kwenye tamaduni sawa, au kuishi kwenye system ya maisha inayofanana.
Nakazia
 
Mkuu hichi ndio kihere here ambacho tulishakikataa wanaume wewe fata kilichokuleta achana na kazi za watu halafu ni mwanaume gani anaweza kumuaga mke wake kuwa anaenda massage pole sana mkuu bado ujatuweza
 
Wamejiajiri bro wale,we tulia na kamshahara kako Halo ka KIMA CHA CHINI.
Heshimu ofisi za watu bro.
Sio lazima unachokiwaza wewe kufanyika kwa watu wote.
Pole,fata biashara yako.
 
Jifunze kufanya yako watu wamtafta mitaji yao wameanzisha biashara kulingana na soko linataka nn ww unaleta majungu yako na iman zako za kidini za kijinga
Kwanza sio lazima uende izo sehemu sasa ww unaeleta ujuaji wako ulienda kufanya nn au unafuatilia vtu visivyo kuhusu umekosa kaz

Ww nenda kwa mwamposa akakupe masaji ya mafuta na maji wenzako acha wakapewe masaji ya nya

Mkuu hichi ndio kihere here ambacho tulishakikataa wanaume wewe fata kilichokuleta achana na kazi za watu halafu ni mwanaume gani anaweza kumuaga mke wake kuwa anaenda massage pole sana mkuu bado ujatuweza
🤣🤣🤣🤣🤣Daaah aiya mkuu
 
Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye.

Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba. Hasa most of girls wanafanya kazi hapo ni shida sana. Kuweni makini.

Akina mama msiwaruhusu waume zenu waende huko. Msije kusema sikuwatonya ohooo!
Picha zaushahidi kwaajili yakusindikizia uzi tafadhali😌😌
 
Back
Top Bottom