Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 823
- 1,616
Location ni tegeta dawasco ukifka pale unaiona na bei ni 40k unakula mali saafiNielekeze mkuu...na bei
Location ni tegeta dawasco ukifka pale unaiona na bei ni 40k unakula mali saafiNielekeze mkuu...na bei
Bao ngapiLocation ni tegeta dawasco ukifka pale unaiona na bei ni 40k unakula mali saafi
Mkuu huwa unazama massage room kimya kimya?shangaa na wewe😆
ndio, unaaga unasema unaenda barMkuu huwa unazama massage room kimya kimya?
Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye.
Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba. Hasa most of girls wanafanya kazi hapo ni shida sana. Kuweni makini.
Akina mama msiwaruhusu waume zenu waende huko. Msije kusema sikuwatonya ohooo!
Usipo weka mkasa walau kidgo kwa uliyo yaona huu utakuwa ni umbea ......Kama una mke wako anaenda massage rooms nakushauri kuwa mkali au kama una mume anaenda nakushauri mkanye.
Niliyojionea kwenye hizi sehemu siri yangu. Siharibu biashara za watu lakini hizo rooms kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwa ajili ya kazi na wanafanya vizuri lakini pia kuna makahaba. Hasa most of girls wanafanya kazi hapo ni shida sana. Kuweni makini.
Akina mama msiwaruhusu waume zenu waende huko. Msije kusema sikuwatonya ohooo!
Bao moja mzeeBao ngapi
Na ukirudi una ripoti kuwa ulikuwa bar ilhali unanukia manukato ya massage room na sio pombe 😜😜😁ndio, unaaga unasema unaenda bar
ukitoka massage unaingia bar sasa kuondoa ushahidiNa ukirudi una ripoti kuwa ulikuwa bar ilhali unanukia manukato ya massage room na sio pombe 😜😜😁
Kuna saluni inaitwa bahari barbershop Kuna totoz pale nikiwa na magenye naendaga tu pale kufanyiwa massage na shoo napewa saaaaafi
Duh,mi nikiona shavu tu wazungu hao wanatrotiBao moja mzee
HakikaSio kila kitu serikali iangalie, kama mtu mzima na timamu kaamua kwenda masaji rooms ni utashi wake umehitimisha hivyo provided hamna mtu aliyelazimishwa kwenda huko.
Hatuwezi wote kuishi kwenye tamaduni sawa, au kuishi kwenye system ya maisha inayofanana.
mimi hapa na nauli napewa!Hivi kuna mwanamume anayemwambia au kumuaga mke wake kuwa huwa anaenda kufanyiwa massage?
Massage ni kazi professional kabisa. Watu wa massage wanatumika zaidi kwenye michezo. Massage ukiikosea inaweza kuharibu mishipa na kuleta matatizo makubwa. Kwenye kambi za riadha ni kawaida kukuta msichana yuko na kichupi anafanyiwa massage huku chumbani kukiwa na wanaume pia. Tatizo ni fani kuvamiwa na wazinzi waliobadilisha massage kuwa jambo la kuchochea uzinzi.Kwanini umruhusu mkeo/ mumeo aende kufanyia massage wakati wewe mwenyewe unaweza kum- massage? Haingii akilini kbsa
🤣🤣🤣 hauna mke hapomimi hapa na nauli napewa!