Sehemu za kutembelea hapa Dar

Hivi bado ipogo?
Sijaisikia kitambo wakiipromote, nilienda huko wakati niko primary tulikula nyama pori tamu sana.
Gharama zao zipoje

Ipo bado cost zao ni affordable kabisa tena ukitaka nyama pori ule na ufaidi mimi hua najichimbia mbuga kama selou au ile ya katavi, halafu ukitaka picha ndio unaenda serengeti, ruaha, kitulo kwenye maua hasa wakati wa mvua, huko kwingine ni nyama tu, Rubondo nafataga samaki choma maana utalii wangu najali sana vyakula, najibebea na boksi kadhaa za vinywaji laini basi.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] inawezekana walipotea njia, si unajua hata tembo huwa wanafika UDOM mara kwa mara. Kwa hiyo usihofu

Tembo hua hawapotei sema wanakua wanapita kwenye njia zao ambapo wanakuta tayari binadamu keshajenga na kuingilia mapito yao, hata iishe miaka mia mbili bado vizazi vya wanyama hao hupita kwenye njia zake hizo hizo,
 
Nilikuuliza ratiba hata hausemi

Tugawane machimbo hayo mkuu
Kibamba mnada ni Jumatano kwa Jumapili, kituo kibamba shule. Ukishuka hapo unapanda bajaji 500 ni karibu sana au boda ya buku. Mida mizuri nyaka kuiva ni kuanzia saa 7mchana hadi saa2 usiku.

Loliondo ni Jumamosi mida ni kuanzia sa5

Goba ni Ijumaa na jumapili.
 
Mwenyewe swala la chakula nazingatia sana, hasa vyakula ambavyo mtaani havipatikani kirahisi.
Asante kwa mwongozo
 
Tembo hua hawapotei sema wanakua wanapita kwenye njia zao ambapo wanakuta tayari binadamu keshajenga na kuingilia mapito yao, hata iishe miaka mia mbili bado vizazi vya wanyama hao hupita kwenye njia zake hizo hizo,
True mambo ya tembo kudidimia kwa tope "idodomya", sisi ndo tunavamia makazi yao πŸ‘πŸ™
 
Ila wewe inaonyesha mtoto wa kishua Sana,Mimi mwenzio primary nilienda makumbusho village nikala chipsi mayai...nilienjoy Sana😁
🀣🀣🀣🀣
Nimechekaaa, ushua wapi mwenzangu.

Kwa mara ya kwanza nilipanda treni, ila nchi yetu kweli tumetoka mbali Dar hadi hapo tu Moro mnapanda treni masaa kibao njiani but it was fun.
Poket money nilipewa elf moja, mia mbili za noti 5 na zilitosha week nzima tuliyokaa kule
 
Aisee napita hapa mara nyingi... Hawana promo tu kumbe ndani ndio pako hivi
 
Tenga mkuchu, tour guide wa jiji wapo... Nina vijana wapiga kazi safi, dar ipo kiganjani...


Njia kuu nne ni morogoro road kibaha, kilwa road ni mkuranga,obama drive ni bagamoyo, upande mwingine hadi chanika.... Na kigambon ni buyuni.

Beach ni 7.
Kigamboni.
Mikocheni.
Jangwani.
Mbweni.
Buyuni.
Zinga.
Coco.

Makazi ya kishua.
Mbweni
Kinyerezi.
Kijichi.
Mgeni nani.
Mikochen.
Jangwan.
Masaki.
Tuwangoma.
N.k


Bar zooote......
Aah aaah dar ni nyoko aiseee
 
Kinyerezi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…