Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Freshiii, tunalala au day trip?weekend hii twende mpenzi.
Nijiandae kabisa
Freshiii, tunalala au day trip?weekend hii twende mpenzi.
Nitamwambia anirudishe muda huo huo🤣🤣Halafu mfike huko maporini hutaki kupiga story unasema hupendi kuongeaongea🤪
hapana physically me ni muongeaji ishu ni kwenye simu unataka tukae kuzungumza muda huo me nina shughuli za kufanya.Halafu mfike huko maporini hutaki kupiga story unasema hupendi kuongeaongea🤪
Day bana.Freshiii, tunalala au day trip?
Nijiandae kabisa
toka pafunguliwe sijafika ila kwa picha nimeona pametulia tulia kiasi.Yani mm chochote kinachoanzishwaga Coco beach hapana![]()
Sawa, twende mapemaa ili tuenjoy muda mwingiDay bana.
😂😂😂😂UtajutaaaNitamwambia anirudishe muda huo huo🤣🤣
😂😂Nakuzingua tu,peleka Toto usharoba mkale maishahapana physically me ni muongeaji ishu ni kwenye simu unataka tukae kuzungumza muda huo me nina shughuli za kufanya.
Sijui nyama pori zipo?? Nyati, swala etc?😂😂Nakuzingua tu,peleka Toto usharoba mkale maisha
Alisema pale juu kua hawajaanza kupika ndani, unabeba msosi toka nje.Sijui nyama pori zipo?? Nyati, swala etc?
ohoo kumbe inabidi kubeba vyuku vyako kabisa na mvinyo.Alisema pale juu kua hawajaanza kupika ndani, unabeba msosi toka nje.
Ila wako kwa process kuweka jiko ndani
Yeah, tunajibebea vya kutosha kabisaohoo kumbe inabidi kubeba vyuku vyako kabisa na mvinyo.
unapendaa kula ww.😂😋😋Yeah, tunajibebea vya kutosha kabisa
Kidogo jamani 🤣🤣unapendaa kula ww.😂😋😋
Wameshauri mbebe bites au stovu mkapike wenyewe.....ila mkiwa kampan mbebe mbuzi kashachunwa mkachome huko mleee mkimaliza mnyweee,mpige storii hakika mtu unaweza sahau tozo za Mwigulu.Sijui nyama pori zipo?? Nyati, swala etc?
Tuandaa kuku wetu wa kienyeji wawili au sio mama.😋😋🙌Kidogo jamani 🤣🤣
MmmmhIle beach ifungwe…Sio nzuri kimaadili
Vitu napendaga😋Tuandaa kuku wetu wa kienyeji wawili au sio mama.😋😋🙌
Mimi pia sijaingiatoka pafunguliwe sijafika ila kwa picha nimeona pametulia tulia kiasi.
Sijui nyama pori zipo?? Nyati, swala etc?