Sehemu za kutembelea hapa Dar

Sehemu za kutembelea hapa Dar

Okay itategemea na interests zako. Ila me naweza kukushauri kama unapenda nature, tembelea sehemu hizi:

1. Pugu Natural Forest (Ushoroba) Hii ipo opposite na Minaki Secondary, kwahiyo daladala ni kama 2000/= jumla kutokea Ubungo.
Hapo utaweza kufanya hiking, camping, kuendesha boat, etc.
Gharama jiandae kuanzia 20k hadi 80k kutegemea na huduma.
View attachment 2390959

2. Vikindu forest reserve. Hii ipo opposite na kiwanda cha juice cha Bakhresa kipo Mbagala kwa mbele nimepasahau jina.
Activities ni sawa kabisa na Pugu hapo namba 1 ila ni cheaper na kasoro hiking hawana milima.

View attachment 2390964

Me kwa hizo mbili ndio recommend kama mtu wa kurelax mfano na bebe au friends.

Beaches, Malls, na sehemu zingine watakupa wadau.
Hii nimeipenda na naona itakuwa plani yangu ya mapema sana. kutembelea sehemu za nature huwa ni nzuri zaidi kwa kutuliza akili. Asante sana mkuu nitalifanyia kazi.
 
Dar huwezi kumaliza starehe zake.
Swala sio kumaliza sehemu zote ila niweze kufanikiwa kutembelea sehemu nyingi nzuri hapa dar kuliko kukaa sehemu moja tu. Na hii inasaidia sana kwa sababu maisha sio kila siku kuhangaika tu. Inabid kupata muda kidogo wa kupumzika na kurefresh akili. Na sehemu zinapokuwa nyingi tofauti inasaidia kutozoea au kukariri sehemu moja. Unabadili mazingira na exposure pia
 
Back
Top Bottom