Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,261
- 12,620
Mimi pochi zote nabeba bila hiyana kabsa...utanipa nibebe na pochi manyoya?Sawa dogo usijali utanibebea hata pochi.chawa kama chawa
Mimi pochi zote nabeba bila hiyana kabsa...utanipa nibebe na pochi manyoya?Sawa dogo usijali utanibebea hata pochi.chawa kama chawa
nimeipenda hii comment yako mkuuMaisha yapo automatic, Kuna vitu huwa vinakuja vyenyewe bila mpangilio
Hebu weka pigo za kike mkuu
Umetisha
Umesahau msitu mwengine, unaitwa Pande, upo huku mabwepande, maeneo ya jirani na huko ni, madale mbopo, bunju, mpiji magoe na mbezi msumiOkay itategemea na interests zako. Ila me naweza kukushauri kama unapenda nature, tembelea sehemu hizi:
1. Pugu Natural Forest (Ushoroba) Hii ipo opposite na Minaki Secondary, kwahiyo daladala ni kama 2000/= jumla kutokea Ubungo.
Hapo utaweza kufanya hiking, camping, kuendesha boat, etc.
Gharama jiandae kuanzia 20k hadi 80k kutegemea na huduma.
View attachment 2390959
2. Vikindu forest reserve. Hii ipo opposite na kiwanda cha juice cha Bakhresa kipo Mbagala kwa mbele nimepasahau jina.
Activities ni sawa kabisa na Pugu hapo namba 1 ila ni cheaper na kasoro hiking hawana milima.
View attachment 2390964
Me kwa hizo mbili ndio recommend kama mtu wa kurelax mfano na bebe au friends.
Beaches, Malls, na sehemu zingine watakupa wadau.
You are warmly welcomed with open hands!Thank you![]()
Cc EINSTEIN112Karibu Goba Six, kwenye mnada wa mbuzi kuanzia Ijumaa hadi Juma pili kuanzia saa kumi na mbili jioni...
Je usalama hupo?Pamoja sana. Unaweza kwenda day trip. Itakua chini ya elfu 20 kwa mtu ila mkiwa wengi inakua cheap. Bei zipo hivi:
Washkaji wakarimu sana pale yaani wako peace knm. Utaenjoy sana boss.
- Kiingilio 2500 (kwa mtu),
- Hela ya guide 20,000 (guide mmoja anahudumia watu 10 so mkienda 10 kila mtu anachangia elfu 2 so better mkiwa crew)
- Boat elfu 10 (sio lazima)
- Ukitaka camp tent zipo za 15,000 (maximum watu 4) na zipo kubwa za 40,000 izo ata watu 10.
- Ukienda na camera kubwa unailipia elfu 5, drone 50,000 ila nadhani hautaenda nazo.
- Ndani hamna vyakula (ila wameanza kutengeza mahala pa kula) so nunua bites na vinywaji nje.
- Gari kuingia elfu 5 ila ukipaki nje free.
Hapa Hiking on top kabisa unakua unaiona Dar kwa chini. Wamejenga ngazi sahivi kupanda rahisi.
View attachment 2391100
Hapa chini camping pembeni mwa bwawa.
View attachment 2391103
PS: Gharama naweza kua nimekosea kidogo sana. Ila zinaenda humo humo.
Mzee baba mi naendaga wa Kibamba na Loliondo huko Goba tunawaachia wa mjini 😅😅😅
Bas mdau hutaki mtu wa kwenda nae! 🤣Wooh asante mkuu
Anaetaka twende aje pm
All bills on me
Ila uwe unajitambua
Usiwe mnywa pombe
Silipii pombe mie
Nakubaliiiiii mwanetuCorner bar, Temeke Mwisho kwa wahaya, Ambiance, mtaa wa Ohio usiku, Tabata the Great Park usiku, 4040, Twist.
Usalama upo bro. Sio mchana wala usiku. Usalama mkubwa sana. Ni misitu iliochini ya TFS (Tanzania Forest Service) Agency.Je usalama hupo?
Pako vizuri sanaOkay itategemea na interests zako. Ila me naweza kukushauri kama unapenda nature, tembelea sehemu hizi:
1. Pugu Natural Forest (Ushoroba) Hii ipo opposite na Minaki Secondary, kwahiyo daladala ni kama 2000/= jumla kutokea Ubungo.
Hapo utaweza kufanya hiking, camping, kuendesha boat, etc.
Gharama jiandae kuanzia 20k hadi 80k kutegemea na huduma.
View attachment 2390959
2. Vikindu forest reserve. Hii ipo opposite na kiwanda cha juice cha Bakhresa kipo Mbagala kwa mbele nimepasahau jina.
Activities ni sawa kabisa na Pugu hapo namba 1 ila ni cheaper na kasoro hiking hawana milima.
View attachment 2390964
Me kwa hizo mbili ndio recommend kama mtu wa kurelax mfano na bebe au friends.
Beaches, Malls, na sehemu zingine watakupa wadau.
Hapana nimeuliza ili kujua tu ili kama ana info zaidi asemeMbona tunaogopeshana tena
Vyakula humu ni halali kweli?
UZI ulikua mzuri...watoto mkajaa....chefu