Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,628
- 9,564
Na nilivyokuwa sijui kuogelea nani aende uko
Na nilivyokuwa sijui kuogelea nani aende uko
Au basi
Tatizo watu wakishapafahamu tu tayari pashaharibika.Usalama upo bro. Sio mchana wala usiku. Usalama mkubwa sana. Ni misitu iliochini ya TFS (Tanzania Forest Service) Agency.
Diamond Platnumz ndio ameupa umaarufu zaidi baada ya kupigia baadhi ya vipande kwenye video ya Mtasubiri alioimba na Zuchu.
View attachment 2391237
Lakini pia wakati Jokate ni Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe alikua na campaigns nyingi sana kule kama Ushoroba Marathon na pia aliwahi mtumia Diamond kama balozi kutangaza utalii wa pale Ushoroba.
View attachment 2391238
Baadhi ya picha (Sio zangu hizi)
View attachment 2391239
View attachment 2391240
Mazingira yakoje hapo G-Six ?Karibu Goba Six, kwenye mnada wa mbuzi kuanzia Ijumaa hadi Juma pili kuanzia saa kumi na mbili jioni...
Oya nipe ABC mwanetu, huko napasikia sikia tu ila sijawahi fika nataka nitimbe 1 tymeMzee baba mi naendaga wa Kibamba na Loliondo huko Goba tunawaachia wa mjini 😅😅😅
Hapa nimeona Uzi huu nimetamani kwenda kibamba kula mbuzi. Nasubiri details zaidi Ili Leo niende. Nimepumzika bia kwahiyo weekend yangu hua naspend kutembea tu Ili nisipate arostoOya nipe ABC mwanetu, huko napasikia sikia tu ila sijawahi fika nataka nitimbe 1 tyme
Akikujibu nitag, mambo ya kwenda porini huko nawaachia wazungu 😂😂😂! Hapa nyama tuNilikuuliza ratiba hata hausemi
Tugawane machimbo hayo mkuu
Mwenyewe nataka update, usafiri ndio kipengele kwangu.Hapa nimeona Uzi huu nimetamani kwenda kibamba kula mbuzi. Nasubiri details zaidi Ili Leo niende. Nimepumzika bia kwahiyo weekend yangu hua naspend kutembea tu Ili nisipate arosto
Huko ni mambo ya Wrong Turn 😂😂😂, ngoja kile ki monster chenye mshale kiwaibukie mtajua hamjui!😂😂😂Dah ,umenipa mawazo tayari,
napenda hizo camping ili nikiwaza Simba na snake naishiwa nguvu kabisa
Kameelewa hako, ushindwe wewe sasa 😂unapendaa kula ww.😂😋😋
Vitu napendaga😋
Na juice ya apple
Loliondo iko kibaha mkuu 😂😂😂Loliondo ya Arusha au? Sijaelewa
Umesomeka arif, panafaa kwenda hapo leo.Kibamba mnada ni Jumatano kwa Jumapili, kituo kibamba shule. Ukishuka hapo unapanda bajaji 500 ni karibu sana au boda ya buku. Mida mizuri nyaka kuiva ni kuanzia saa 7mchana hadi saa2 usiku.
Loliondo ni Jumamosi mida ni kuanzia sa5
Goba ni Ijumaa na jumapili.
Daaah unazidi kunivurugaa😂😂.....Huko ni mambo ya Wrong Turn 😂😂😂, ngoja kile ki monster chenye mshale kiwaibukie mtajua hamjui!
View attachment 2395065
Nimefika hapa mnadani,kibamba. Nimeagiza ubavu Kwa 15k. Nilikua sipajui huku ila huu Uzi umenipa chimbo la kula mbuzi japo mbali.Mwenyewe nataka update, usafiri ndio kipengele kwangu.
Kama palace! 😀Mazingira yakoje hapo G-Six ?
Bei zao za mnadani kweli au kama za Bar tu? Mguu bei gani?Nimefika hapa mnadani,kibamba. Nimeagiza ubavu Kwa 15k. Nilikua sipajui huku ila huu Uzi umenipa chimbo la kula mbuzi japo mbali.
View attachment 2395484View attachment 2395485
14,000Tsh mpaka 15k. Vp bei zao nzuri au kama bar tu? Sema Pako local sana Wala hapavutii. It's not worth it and I don't recommend labda uwe mkazi wa maeneo haya.Bei zao za mnadani kweli au kama za Bar tu? Mguu bei gani?
Vikindu napatamani sana hapa nikipata muda nitaendaOkay itategemea na interests zako. Ila me naweza kukushauri kama unapenda nature, tembelea sehemu hizi:
1. Pugu Natural Forest (Ushoroba) Hii ipo opposite na Minaki Secondary, kwahiyo daladala ni kama 2000/= jumla kutokea Ubungo.
Hapo utaweza kufanya hiking, camping, kuendesha boat, etc.
Gharama jiandae kuanzia 20k hadi 80k kutegemea na huduma.
View attachment 2390959
2. Vikindu forest reserve. Hii ipo opposite na kiwanda cha juice cha Bakhresa kipo Mbagala kwa mbele nimepasahau jina.
Activities ni sawa kabisa na Pugu hapo namba 1 ila ni cheaper na kasoro hiking hawana milima.
View attachment 2390964
Me kwa hizo mbili ndio recommend kama mtu wa kurelax mfano na bebe au friends.
Beaches, Malls, na sehemu zingine watakupa wadau.
Sema ndio minada inavyokuwaga, mtu shazi lakini au watu sio wengi?14,000Tsh mpaka 15k. Vp bei zao nzuri au kama bar tu? Sema Pako local sana Wala hapavutii. It's not worth it and I don't recommend labda uwe mkazi wa maeneo haya.