A
Anonymous
Guest
Abiria tunaotumia vivuko tunapata shida sana wakati wa kusubiri Kivuko kwenye lounge kutokana na joto kali linalotokana na msongamano wa watu.
Nashauri waweke hata feni maana watu wanajazana sana na joto kali, feni zilizopo hazifanyi kazi, sijui hata pesa zinazopatikana zinafanyiwa nini!
Pia soma- Waziri wa Ujenzi awaondoa Watendaji wa TEMESA Kivukoni Dar kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao