Kati ya Shinyanga na Mwanza ni wapi kuna joto kali?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Wakuu kuna mikoa miwili napaswa kuchagua nikaishi kutokana na mazingira ya kazi

Kati ya Shinyanga na Mwanza ni wapi kuna joto kali

Maana nataka kujua ni mkono upi hauna joto kali ya hiyo miwili kiukweli joto kali huwa siliwezi kabisa

Na shinyanga na Dar ni wapi kuna joto kali pia?

Na mwanza na shinyanga jee?
 
Screenshot_20231231-164401~2.png
 
Kuna faida nyingi za kuishi Mwanza kuliko Shy-town.

Mwanza airport ipo, mwanza ni center ya mkoa wa Kagera na mara, watu wa mikoa hiyo hapo ni Dubai yao
 
Back
Top Bottom