Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

Hapa naona yanatengenezwa mazingira kama kawaida yao walivyokuwa posta pale jengo la kitega uchumi
 
Naona saivi wamerud hewan wanapiga nyimbo za dini za kumsifu mungu kua hawatetereshwi duhhhh!! Hii mesej inatumwa kwa nani??
 
Wakuu

Kulingana na moto wa leo katika kituo cha Habari ulipangwa siku ya Ijumaa


.
1e3f8a1225f30772a27d0e8efce5d573.jpg
huu uzi ungeweka link tujionee
 
Clouds ni kama Dhahabu ukiichoma ndio kwanza ina shine.... Ishawahi kuungua enzi hizo kitega uchumi.. Na ikaridi kwa speed ya cheetah.
 
Tutajuaje hii sio kama yale ya kujiteka wenyewe? Afterall wana insuarance. Hii isije ikawa kisingizio cha kukimbia fiesta kulingana na mwamko wa kununua ticket kuwa mdogo?
 
Back
Top Bottom