Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

Clouds wame plant hiki kitu wenyewe na wana sababu zao. ila kama wakiahirisha fiesta basi tutaamini kwamba wameshindwa ligi na EFM.. ila safari hii wamechemsha kwa kweli. kwenye hili nipo upande wa bashite na lemutuz
 
Hao jamaa walisha wahi vunjavunja viti vya studio kuonyesha kulikuwa na mtafaruku studio, Adam Mchovu alisikika akitoa matusi live, lakini kumbe ilikua kiki.
 
Eeh Mungu wacheleweshe wazima moto, clouds iungue yote
Hahaha ila Binamu! [emoji1][emoji1][emoji1]

Ila kuna mijitu inatia kinyaa sana humu. Kwanini mnampa supernatural power huyu makonda? eti kwa hili nalo anahusishwa? Mnafanya ajione yeye mungu chochote akitaka kitokee au akikipanga kinatokea. Mnamhusisha kwenye kila kitu bila kujua mnampa uwezo asokuwa nao! Kila kitu vizuri na vibaya kahusika yeye! Kwa namna nyingine mnamjenga sana huyu bwana! Ndio maana naye anajiona yuko juu ya watu wote!
 
Sehemu ya jengo la Ofisi za @CloudsMediaLive linaungua moto muda huu. Tayari Kikosi cha Zima Moto kimefika eneo la tukio chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.
 
Utawala huu jamani utakuwa chini ya shetani mbona mabalaa hayaishi!!!??? Sizonje Mungu wa kweli anakuona ujue
 
Back
Top Bottom