Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

Muda huu Leo jengo la clouds fm lashika moto!
More update

==========================
UPDATES

=> Sehemu ya jengo la kituo cha Chouds Media Group linaungua moto muda huu. Juhudi za kuuzima moto huo bado zinaendelea.

=> Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana

Taarifa zaidi zinaendelea kuja........

View attachment 634771 View attachment 634772
Kuna jamaa hapo najua kimoyomoyo anatamani liwake lote
 
kwa hiyo picha naona sehemu ya TV ndio imeungua hasa chumba cha TX ,pole yao
 
Back
Top Bottom