Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

Nawakumbuka Udai na Kusai watoto wa Sadam Husein walivyokuwa wakiwafanyia raia wa Iraq ukatili.
 
ama kweli malipo ni hapa hapa duniani, mungu amesikia machozi ya akina ruby, jay dee, sugu n.k
 
Mara paap Kp alivyotaja kuwa meli ya kujitolea ya wachina ........nikaskia zwiiiiiiiii ! pyuuuuuu! (in Jongwe's voice)
 
huu ni msimu mbaya Sana kwa Adam mchomvu na Xmas inasogea sjui ataishije
 
Nilifikiri kuwalazimisha Tamasha lao la FIESTA liishe saa sita usiku inatosha, kumbe ilikuwa haitoshi?
 
Back
Top Bottom