Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,386
Asee kwa hali ilivyo hata kma ni janga la kawaida wengi watajua ni mkono wa bwana yule
Ndio aliye wachomea hadi kule Kitega Uchumi
Asee kwa hali ilivyo hata kma ni janga la kawaida wengi watajua ni mkono wa bwana yule
mbona hapa na sikia ule ujumbe usiwe kama kaa mala paaaBreaking News Muda huu Leo jengo la clouds fm lashika moto! More update
Kweli mkuuuclouds kwa muda sasa haipo hewani
hahahahaha inawezkana kalichoma yeye huyu mtu anaroho mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaJirani zangu hao..poleni..kama namuona vile Grace Gucci anavotikisa wowowo kwa shangwe!
DooohBreaking News Muda huu Leo jengo la clouds fm lashika moto! More update
Hakika kuishi na watu ni timing tuuNdio aliye wachomea hadi kule Kitega Uchumi
nilifungulia time flan nikaona kimya nimejaribu tena kimya zingine ziko ok means clouds iko air off jaribuni na nyieKweli mkuuu
Clous haipo hewani
Hata tv yao haiko hewani muda huu. Nawapa pole sana Clouds. Si mara ya kwanza kuunguliwa na jengo!duh alafu clouds aipo hewani