Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

wanajuana wenyewe kama ndo wanalipana haya waendelee
 
Hivi kwa akili za kawaida eti fiesta ibume Ndio wachome studio?
Sema kwasababu hujawahi kwenda kuona uwekezaji uliofanyika pale.....ndio maana unaongea shit namna hii
nishafika sana !!fiesta mwaka huu dar aina mwitikio, kama waliweza kujiteka watashindwa VIP kujilipua?..sory urge.
 
Ahahahahhaha tatizo unajichanganya sana katika shida watu hutafuta kwa kujiliwaza...! Kweli Dunia njia maskini Clouds.
 
Hivi kwa akili za kawaida eti fiesta ibume Ndio wachome studio?
Sema kwasababu hujawahi kwenda kuona uwekezaji uliofanyika pale.....ndio maana unaongea shit namna hii
Clouds huwajui vizuri wewe!
Wako very theatrical.
 
Kwa kweli ni maajabu. Poleni Clouds. Pole Mkuu wa Mkoa kwa janga hili.
 
51270c27eb32a7927c17ae76ab148edc.jpg
 
Hivi kwa akili za kawaida eti fiesta ibume Ndio wachome studio?
Sema kwasababu hujawahi kwenda kuona uwekezaji uliofanyika pale.....ndio maana unaongea shit namna hii
kuchoma sio tatizo maana kila kitu kina bima pale. kwa hiyo uwekezaji sio tatizo sana. wanaweza kujichoma tu dakika yoyote.
 
Back
Top Bottom