Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,100
Ngoja tusubiri kusikia Grace Mugabe atasema nini....Du hii hatari hata Tundu Lissu angetibiwa bongo jengo lingeshika moto.
Ngoja tusubiri kusikia Grace Mugabe atasema nini....Du hii hatari hata Tundu Lissu angetibiwa bongo jengo lingeshika moto.
mdudu kaa katajwa tajwa mwisho kawa kaa la moto sasa,sijui hakitoka kaa anatajwa mdudu gani maana tulitoka na kipepeoMuda huu Leo jengo la clouds fm lashika moto!
More update
==========================
UPDATES
=> Sehemu ya jengo la kituo cha Chouds Media Group linaungua moto muda huu. Juhudi za kuuzima moto huo bado zinaendelea.
=> Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana
Taarifa zaidi zinaendelea kuja........
View attachment 634771 View attachment 634772
Hili litakuwa kwa watu wenye uelewa mdogo na kukariri mambo sababu clouds kuunguliwa na jengo sio mara ya kwanza, walishawahi kuunguliwaga tena walupokuwa jengo la uchumi kama sijakosea so hii itakuwa ni hitilafu kama zinavyokuwaga hitilafu zingine.Asee kwa hali ilivyo hata kma ni janga la kawaida wengi watajua ni mkono wa bwana yule
GRACE MUGABEPole zao ila bora limeungua mchana maana ingekua usiku wangesema ni Makonda maana japo limeungua asubuh wapo watu vichwa panzi washaanza kuroga kwa maneno
Badala ya kumwaga maji na mchanga watu wanapiga picha,pumbavu mianaume ya darisalama
Kama Bao La AsubuhiWatu mko fasta
Grace Mugabe From BongoKumuita Paulo Grace Mugabe si sawa wajameni.
Bora ulivyompa ukweli.sema umefurahi shosti at least be honest to yourself
Choice fm 102.5 ni yao pia?Ndio aliye wachomea hadi kule Kitega Uchumi