Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Yesu wangu. Safari ya Mwanza Dar tu huwa inanipaga uchizi angani. Masaa kumi ntaenda kabisa kuungama na kupakwa mafuta kanisani. nawaza kutekwa, mara plane imecrash. Plane si kitu kizuri kabisa basi tu
But it is the safest means of transport..
 
Usafiri wa ndege ni salama sana kuliko aina nyingine za usafiri,wengi wameongelea turbulence na wengi nimeona hapa bongo wanaogopa sana hivi vi turbulent vidogo vidogo.Kiufupi turbulent hazi crash ndege kiurahisi tena siku hizo, kutokana na technolojia.Kuna turbulent kubwa jamani,watu wanarushwa hadi top roof na kudondoka sakafuni na baadae ndege inatulia kama haikutokea,pia pilots wanajua aina ya turbulent watakayokutana nayo kwa radar maalumu ma kama wanahisi iyaleta usumbufu basi wataenda route ya juu zaidi kama hakuna equipment nyingine muda huo.Turbulent nyingine husababishwa na ndege kubwa mfano airbus A360 ikapita anga la juu na uelekeo huohuo kukawa na ndege ndogo ni lazima nyie wa ndege ndogo cha moto mkione,na kama captain hayupo makini basi ndege yake itashushwa chini kwa speed kubwa sana.
Suala la vifo kwenye ajali ya ndege,wachunguzi wengi wanasa ndege inapo crash watu wengi wananusurika ila vifo huanza kutokea ndege ikiwa tayari chini either kwa kukosa hewa,au ndege kuwaka moto baada ya kuanguka hii huitwa after impact casualties.Kukaa mbele kati nyuma kote ni sawa,afterall business class huwa mbele na kwa nini isiwe nyuma.Marubani wanajitahidi sana kuzia mdege isianguke uelekeo wa pua chini,na hata ndege ikaishiwa mafuta na engine kuzimika bado ndege inaweza kufanya gliding kati ya km 100 hadi 200 bila engine kizinguka wakati huo huo ikishuka low altitude ikitafuta uwanja wa karibu kutua au barabara ilionyooka na ikatua bila kuua watu japo watu wataumia kutokana na kutua kwa kwa ovyo.
Mafuta ya ndege hukaa kwenye mabawa yote ya kati na ya nyuma,hivyo kama ni mlipuko basi utaanzia kati kurudi nyuma.
Naomba niishie hapa leo.
 
Aisee juzi nimepanda ndege ikafika sehemu ikapata turbulence moja mbaya sana.

Nilihisi ndo basi tena.

Nilikuwa nimeshika juisi mkononi ikamwagika...ndani ya ndege nikasikia sauti za vilio tu.

Kwa kweli huwa sipendi kusafiri kwa ndege.

Pole sana Mzee Nyani aka US Baby!!!
 
Kumbe waoga wa hiyo kitu tupo wengi, nawaza siku nikisafiri mbali itakuaje. Kama sitakutwa nimezima basi watanikuta nimezimia au kufa kwenye kiti changu kwa kihoro.

Kutoka Jberg Afrika kusini hadi Perth Australia ni masaa 18 upo juu hujaiona nchi.
 
Inategemea, kama abiria mupo wachache mnapangwa na Wahudumu bila kujali tiketi.
Labda ndege za huko ulipo kwasababu nakumbuka nilipanda ndege from Schipol to Heathrow tulikuwa wachache sana kiasi kwamba tuliingia na kuamua tukae wapi, row moja ilikuwa na watu wawili maximum na ni wale wenye uhusiano.
Na option ya kuchagua pa kukaa ipo during check in cabin crew ndani anakuonesha kiti chako kilipo kwa mujibu wa boarding pass(kiti umeachagua mwenyewe)
 
Labda ndege za huko ulipo kwasababu nakumbuka nilipanda ndege from Schipol to Heathrow tulikuwa wachache sana kiasi kwamba tuliingia na kuamua tukae wapi, row moja ilikuwa na watu wawili maximum na ni wale wenye uhusiano.
Na option ya kuchagua pa kukaa ipo during check in cabin crew ndani anakuonesha kiti chako kilipo kwa mujibu wa boarding pass(kiti umeachagua mwenyewe)
Sidhani kama hili lipo kwenye Boeng.

Na ofcoz wanatoa sababu inayomake sense, kuibalance ndege iwe na uwiano.
 
Kwahiyo msukuma ulikuwa mbioni kufa... teh teh teh

Umesema mimi ni muongo.

Nimekuuliza uongo wangu uko wapi hapo? Maana umesema mimi ni muongo.

Sasa nimekuuliza uongo wangu uko wapi hapo uliponinukuu...lakini kama kawaida yako, umeshindwa kunionyesha nilichodanganya.

Jipange mangi....huwezi kunikamata kijinga kijinga namna hiyo.
 
Sidhani kama hili lipo kwenye Boeng.

Na ofcoz wanatoa sababu inayomake sense, kuibalance ndege iwe na uwiano.
Boeng is just a make like Airbus Bombardier rtc.
Watu wengi wanakimbilia madirishani so automatically ndege itabalance, hamuwezi wote kukaliana nyuma au madirishani. Kumbuka ndege inaweza kuwa na abiria wachache lakini chini mizigo imejaa na ime balance.
 
Siku moja tulikua wqchache sana kwenyr ndege, akaja dada wa crew akaniambia nihame siti nikae ile yenye mlango wa dharula. Nilimkata jicho hadi akajistukia hasa ukizingatia walituahirishia ndege. Akaenda kwa mtasha flan akakubali kuhamia seat ya emergency exit akaanza kumpa vimaelekezo vya namna ya kufungua mlango. Sa nikajiuliza:

1. ni kwa ajali gan hyo utakua hai hadi ufungue huo mlango utoke, nakat ajali ya ndege jua haichukui ata dak 5 na ngoma hua inawaka

2. Mlango wenyewe haufunguki hadi rubani aruhusu, sa ndo nn hyo?!! Yan mtu ache kujiokoa goma linapigiza awe tena na mda wa kuruhusu milango, si utani huu
 
Back
Top Bottom