Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Mkuu, huyu mtoto alikua amekaa wapi??
1/103 x 100%
=0.97%
katikati ila nilitaka kukuonyesha ajali watu walipona... nimeziskia nyingi saana.... angalia statistics za aircraft crashes zipo nyingi hiyo nimeikumbuka maana mtoto alitia gumzo... walipona wawili ila huyo mwingine alikuja kufariki hosp.
 
Seriously hujui ajali ambazo watu wamepona? Hii niliopata hizi information watu zaidi ya 80 walipona, wengi wao waliokaa nyuma. Ajali nyingitu zina survivors, kwasababu huwa naangalia sana NatGeo nitakuwa naleta hapa.
katikati ila nilitaka kukuonyesha ajali watu walipona... nimeziskia nyingi saana.... angalia statistics za aircraft crashes zipo nyingi hiyo nimeikumbuka maana mtoto alitia gumzo... walipona wawili ila huyo mwingine alikuja kufariki hosp.

Sijasema hakuna ajali zenye Survivors, hata hapa Tanzania zinatokea sana ajali na haziui hata mtu mmoja.
Ila nachowaza ni kua hizi namba ulizoweka hapa zimekaa kati kati mno.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole Ngosha. Lakini kwa huko uliko huo ndio usafiri pekee wa haraka. Hatuchekani. Sipendi sana kusafiri kwa ndege kama kwenda sehemu kama kuna usafiri mbadala! Nukta
Unaenda Zanzibar kikazi/biashara utapanda ndege au Meli?

Kuna siku kidogo nibaki zanzibar meli inahitaji uwe na roho ngumu...

Rondo kwenye meli hii ina apply, Kuitenga meli mara 3?
 
Ndege ikipata ajali uwezekano wa kupona kwa ujumla ni mdogo bila kujali umekaa wapi.
 
Sijasema hakuna ajali zenye Survivors, hata hapa Tanzania zinatokea sana ajali na haziui hata mtu mmoja.
Ila nachowaza ni kua hizi namba ulizoweka hapa zimekaa kati kati mno.
Namba sijaweka mimi. Ni watafiti wakiwemo NTSB kama unawajua. Na wengi hamjaelewa. Waliposema 69% waliokaa nyuma wanasurvive ni kwamba katika wale waliosurvive hata 10 wenhi ni waliokaa nyuma.
Haina,maana kuwa ajali ikitokea 69% watapona. Kwahio ukikaa nyuma una 69% kupona kuliko wa mbele mwenye 40+% in case kuna watakaopona.
 
hizi data zipo sahihi kwa mujibu wa review zao sema tunaona asilimia zipo juu maana tunadhani ajali za ndege ni zile zinazodondoka tu kutoka juu maana hizi nyingi ndizo zinauaga karibu wote...
kuna kama hizi April 13 – Merpati Nusantara Airlines Flight 836, a Boeing 737, overruns the runway at Rendani Airport in Indonesia; all 103 people on board survive, with 23 injured, three of them seriously. nazo zilijumuishwa.... nenda faa usome

Nadhani kuna sababu za kitaalamu kwanini wa nyuma wananafasi kubwa ya ku-survive ukilinganisha na wa mbele.

Cc barafu
 
Namba sijaweka mimi. Ni watafiti wakiwemo NTSB kama unawajua. Na wengi hamjaelewa. Waliposema 69% waliokaa nyuma wanasurvive ni kwamba katika wale waliosurvive hata 10 wenhi ni waliokaa nyuma.
Haina,maana kuwa ajali ikitokea 69% watapona. Kwahio ukikaa nyuma una 69% kupona kuliko wa mbele mwenye 40+% in case kuna watakaopona.
hizi data zipo sahihi kwa mujibu wa review zao sema tunaona asilimia zipo juu maana tunadhani ajali za ndege ni zile zinazodondoka tu kutoka juu maana hizi nyingi ndizo zinauaga karibu wote...
kuna kama hizi April 13 – Merpati Nusantara Airlines Flight 836, a Boeing 737, overruns the runway at Rendani Airport in Indonesia; all 103 people on board survive, with 23 injured, three of them seriously. nazo zilijumuishwa....

Nadhani kuna sababu za kitaalamu kwanini wa nyuma wananafasi kubwa ya ku-survive ukilinganisha na wa mbele.

Cc barafu
My Point ni kwamba kwenye ajali ya Ndege ni either wafe wengi sana (above 95%), au wafe wachache sana (Not more than 5%) kulingana na Impact ya ajali. Hapa nazungumzia kwa Ujumla wake Ndege nzima wakiwemo hao waliokaa mnaosema uwezekano wa kupona ni 69%.

Perhaps kama mna mfano dhahiri ambao unaonyesha wangapi Walikaa Nyuma wakapona na wangapi walikaa mbele wakafariki.
 
Bado hujaelewa tu? Hio ni percent ya survivors. Kama wamepona 10 69% yao walikaa nyuma. Watu wagunu sana kuelewa.
 
Umeambiwa toa mfano dhahiri kuthibitisha hili,
By the way hapa tunajadiliana kiswahili, maneno ya kilugha sio mahala pake.
 
Nenda NatGeo channel katafute, hio ndio source.sina bundle la kukuwekea hio documentary.
 
My Point ni kwamba kwenye ajali ya Ndege ni either wafe wengi sana (above 95%), au wafe wachache sana (Not more than 5%) kulingana na Impact ya ajali. Hapa nazungumzia kwa Ujumla wake Ndege nzima wakiwemo hao waliokaa mnaosema uwezekano wa kupona ni 69%.

Perhaps kama mna mfano dhahiri ambao unaonyesha wangapi Walikaa Nyuma wakapona na wangapi walikaa mbele wakafariki.
Which is the safest seat on an aircraft?

The Safest Seat On A Plane, According To Studies Of Crash Data | HuffPost
 
Aisee juzi nimepanda ndege ikafika sehemu ikapata turbulence moja mbaya sana.

Nilihisi ndo basi tena.

Nilikuwa nimeshika juisi mkononi ikamwagika...ndani ya ndege nikasikia sauti za vilio tu.

Kwa kweli huwa sipendi kusafiri kwa ndege.
Hahahaha naona unatambaa na biti... Jamaa muongo sana wewe
 
Kwakweli ndege haina sehem salama, ukipanda ndege unakuwa umeweka roho yako rehani,

Ila ukitaka usalama zaid, mi ndege ya shirika lolote la africa sijui KQ, Ethiopia au Rwanda air huwa nikizipanda sijisikii comfortable, kidogo Egypt's air na south Africa air,

Maana hawa Africa hawana precautions au hawazifuati tena kwanini ukipanda Ethiopia airways unapewa cargo capacity ya kubeba ni 60 kg ,wakati Emirates au KLM au QAtar airways au etihad unaambiwa ni kg 20 tu wakati ndege zina uwezo sawa??? Si ujiulize maswali , overloading ndo chanzo cha ajari nyingi 75%

Pili ndege za Africa si nyingi inapigishwa route bila service za kutosha so kama Emirates wana ndege zaid ya 500 nazo zinaenda route kadhaa, lakin Ethiopia wana ndege 16 wanataka kupiga route kama as Emirates bila kupumzisha ndege zao kufanyiwa service za kutosha, pia ndo maana shirika ya ndege yanayoongoza kuairisha safari ni haya ya africa maana wanagundua matatizo wakati cabin Lipo tiyari kuanza safari

Tatu ,mara.nyingi Africa tunanunua ndege ambazo zimechoka kwao, siku hizi.wana ndege za kisasa ikipata tatizo linalohusiana na kufeli kwa engine au itirafu, sehem ya engine inaji untach kwenye cabin inashuka ile system ya kukalia yaan pipa lenyewe linakuwa na syatem ya kulishusha taratibu kama parachute na kufika chini, ila hizi hazijasambaa sana

Kwa kifupi
Tumia emirate
Klm ,British airways
Malaysia airlines(walifanyiwa hujuma kipindi kile cha awali)
Etihadi ,quatar na nyingine

Back
Top Bottom