Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,018
- 142,883
Boeng is just a make like Airbus Bombardier rtc.
Watu wengi wanakimbilia madirishani so automatically ndege itabalance, hamuwezi wote kukaliana nyuma au madirishani. Kumbuka ndege inaweza kuwa na abiria wachache lakini chini mizigo imejaa na ime balance.
Kuna nyakati zingine, kama ndege haijajaa, wahudumu na marubani huwa wanawaomba abiria wahamie siti singine ili ndege iweze ku balance uzito vizuri.