Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Hicho Kipindi kinarushwa channel gani Mpendwa, na kipo ktk ving'amuzi gani??? Na Kipindi kipo siku gani?? Samahani kwa usumbufu
NatGeo kinaitwa Air Crash Investigation Dstv 181, startimes sikumbuki channel. Kila siku 1815 EAT au jumapili 1400-1800EAT.
 
Ndege ikipata ajali uwezekano wa kupona kwa ujumla ni mdogo bila kujali umekaa wapi.
Tafiti hujibiwa kwa tafiti

Contrary to popular belief, the majority of plane crashes are survivable. One US government analysis of all 568 plane crashes in the US between 1993 and 2000, involving 53,487 passengers and crew, found that 51,207 – or over 90 per cent – survived. Even on the 26 crashes deemed the worst, more than half walked away. So surely a seat close to an exit would be safest? That theory is supported by a University of Greenwich study, commissioned by the CAA. Researchers checked the accounts of 2,000 survivors in 105 accidents around the world. Those sat more than six rows from an exit were found to be far less likely to survive, though the difference between window and aisle seat was “marginal”
 
Hicho Kipindi kinarushwa channel gani Mpendwa, na kipo ktk ving'amuzi gani??? Na Kipindi kipo siku gani?? Samahani kwa usumbufu
Huwa NI dstv Chanel 181 siku ya alhamis saa 3:30 usiku na jumapili kuanzia SAA 9 mchana,, utaenjoy
 
Sasa mbona wanakufaga wote kama ni kweli? Ndege haina pa location wala nini...ukipanda ndege muombe Mungu..ni usafiri wa haraka lakini hatari sana na binafsi nauogopa sana sana..
Wote wanakuwaga wamekaa siti za mbele. Nyuma na kati hawakaagi.
 
Hujichagulii vipi, wakati unaweza book online na ukachagua seat kulingana na daraja unalokaa. Mara nyingi International flight seat nachagua mwenyewe wakati wa kucheck in or booking online.
Nahitaji kwenda Nigeria nifundishe namna ya kufanya booking ya ndege
 
Nahitaji kwenda Nigeria nifundishe namna ya kufanya booking ya ndege
Unaweza ingia kwenye shirika la ndege husika mfano ethiopian, then unaanza kufanya booking hapo. Au unatumia KAYAK hii inakuletea orodha ya ndege zote zinazokwenda huko pamoja na bei zake then unachagua utakayo ipenda. Inabidi uwe na credit au debit card kwa ajili ya kufanya malipo. Cha muhimu ni kufuata maelekezo hadi unamaliza booking na kupata electronic ticket yako.
 
Kukaa masaa kumi hewani si mchezo! Huwa naangalia sana Air Crash Investigation...moja imeshika moto hewani! Hamponi hapo.
Dubai to New York 14 hrs sio mchezo! Uzuri wa ndege ikiwa anga ya juu unajisahau na kulala cause inakua imetulia hasa hizi ndege kubwa kama Airbus 380
 
Hicho Kipindi kinarushwa channel gani Mpendwa, na kipo ktk ving'amuzi gani??? Na Kipindi kipo siku gani?? Samahani kwa usumbufu
Leo 30/11/2017 2105 EAT NatGeo wanaonesha Air Malaysia flight MH370 iliopotea
 
Siku yako ikifika imefika tuu, lakini tahadhari ni muhimu pia!!!!

Ngoja nikariri siku nikibahatika kuipanda nikae koridoni!!!
Ndege ni nzuri lakini ukifika maeneo yenye mvutano mnachezea waves utafikiri shetani anawauliza kati ya Magufuli na kifo unachagua nini,Magufulification,haya baki.
 
NatGeo kinaitwa Air Crash Investigation Dstv 181, startimes sikumbuki channel. Kila siku 1815 EAT au jumapili 1400-1800EAT.
Hicho kipindi huwa staki kukiona it gives bad meaning to enjoya a nice Swiss Air
 
Sijawahi kufurahia usafiri wa ndege hata siku moja zaidi ya kushukuru Mungu nikifika salama.

Ntaendelea kumlaani aliyegundua ndege milele.
 
Kuna siku nilitoka bukoba kwa ndege sitasahau na sintorudia kutoka bukoba kwa ndege.

Shughuli ilikua pevu hadi nikawa nahisi roho inauacha mwili. Kuna sista alikua kakomaa na rozali, mambo yalivyozidi tukajikuta wote tumeng'ang'ania seat hata alikoitupia rozali sikuona.
 
Nimetoka mbeya one day two yrs back dubwana lifastjet lilitikisika balaa nilikuwa toilet nakojoa mkojo ukakata ghafla nasikia masupika tu yanasema fungeni mikanda ile natoka nakutana na viea hostess vimejifunga mikanda abiria kitete lilitetema kama dakika 10 continously nilihisi tumbo la kuhara ile linatua jknia ma attendant walipiga makofi kushangilia.Usiombe....ukitaka kuona raha ya ajali cheki Air Crash Investigation kwenye NatGeo ni shiida sana ila unafika fastaaaa
 
Mi Naipenda ndege ikianguka hakunakuvunja miguu wala nini nikuokota maiti tu
 
Kwangu mpya. Sina uhakika kama waliwahi kuonesha au la.
Nimeimiss hii nipo shamba nilikuwa naisubiri sana documentary yake sijui online kama washaiweka niicheki. ..maana kile kisa cha kupotea kimewazuzua sana
 
Kumbe waoga wa hiyo kitu tupo wengi, nawaza siku nikisafiri mbali itakuaje. Kama sitakutwa nimezima basi watanikuta nimezimia au kufa kwenye kiti changu kwa kihoro.
Magu ndo muoga namba moja,
 
Back
Top Bottom