Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Aisee juzi nimepanda ndege ikafika sehemu ikapata turbulence moja mbaya sana.

Nilihisi ndo basi tena.

Nilikuwa nimeshika juisi mkononi ikamwagika...ndani ya ndege nikasikia sauti za vilio tu.

Kwa kweli huwa sipendi kusafiri kwa ndege.
Hapo unaweza kujikuta unaongea kiarabu bila kutegemea...
 
Aisee juzi nimepanda ndege ikafika sehemu ikapata turbulence moja mbaya sana.

Nilihisi ndo basi tena.

Nilikuwa nimeshika juisi mkononi ikamwagika...ndani ya ndege nikasikia sauti za vilio tu.

Kwa kweli huwa sipendi kusafiri kwa ndege.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole Ngosha. Lakini kwa huko uliko huo ndio usafiri pekee wa haraka. Hatuchekani. Sipendi sana kusafiri kwa ndege kama kwenda sehemu kama kuna usafiri mbadala! Nukta
 
Ndege ni usafiri salama zaidi duniani. Lakini ajali yake kupona ni kazi sana.
Kwa utafiti wa wataalam sehemu utakayokaa kwenye ndege ina nafasi kubwa sana kuamua uhai wako.

Igawe ndege mara tatu, kipande cha mbele,kati na nyuma.

1. Ukikaa mbele nafasi ya kupona ni 49%

2.Ukikaa kati nafasi ya kupona ni 56%

3.Ukikaa nyuma nafasi ya kupona ni 69%

Vile vile siti ya koridoni ni salama zaidi kuliko dirishani.
Jitahidi usikae zaidi ya mistari mitano kutoka mlango wa dharura.

Wanasema ndege ikianguka sehemu ya nyuma inameguka mara nyingi inabaki salama, sehemu ya kati kwa sababu ndio kuna tank la mafuta ndio huwa inaungua sana, sehemu ya mbele ndio ya kwanza kukutana na impact mfano kwenye crash landing.
Source:NatGe Air Crash Investigation
Yote ya yote ajali nyingi za Ndege hua wanafariki WOTE, hakuna anaeponaga

So nadhani ilipaswa kua,
1. Ukikaa mbele nafasi ya kupona ni 0%
2.Ukikaa kati nafasi ya kupona ni 0%
3.Ukikaa nyuma nafasi ya kupona ni 0%
 
Sawa. Lakini utafit huu ni kwa ajali ambazo zina walionusurika.
 
Yote ya yote ajali nyingi za Ndege hua wanafariki WOTE, hakuna anaeponaga

So nadhani ilipaswa kua,
1. Ukikaa mbele nafasi ya kupona ni 0%
2.Ukikaa kati nafasi ya kupona ni 0%
3.Ukikaa nyuma nafasi ya kupona ni 0%
May 12 – Afriqiyah Airways Flight 771, an Airbus A330, crashes on landing at Tripoli International Airport, killing 103 on board; the sole survivor is a child from the Netherlands....
 
May 12 – Afriqiyah Airways Flight 771, an Airbus A330, crashes on landing at Tripoli International Airport, killing 103 on board; the sole survivor is a child from the Netherlands....
Mkuu, huyu mtoto alikua amekaa wapi??
1/103 x 100%
=0.97%
 
Siku yako ikifika imefika tuu, lakini tahadhari ni muhimu pia!!!!

Ngoja nikariri siku nikibahatika kuipanda nikae koridoni!!!
Kaa sebuleni kabisa. Au dining, utajificha chini ya dining table
 
Kwangu Boat ndio usafiri salama zaidi. Ndege, gari Na vingine vinafuatia.
 
Mkuu, huyu mtoto alikua amekaa wapi??
1/103 x 100%
=0.97%
Seriously hujui ajali ambazo watu wamepona? Hii niliopata hizi information watu zaidi ya 80 walipona, wengi wao waliokaa nyuma. Ajali nyingitu zina survivors, kwasababu huwa naangalia sana NatGeo nitakuwa naleta hapa.
 
Back
Top Bottom