Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Safari ni safari, sio ndege tu.

Siku nipo kwenye boti ikaanza kunepa, kina Mama na Watoto kama kawa wakaanza mayowe....kulikuwa na Ustaadhi mmoja akawa anatamka maneno ya Kiarabu kila Boti likiinuka, yeye ndiye aliongeza hofu kabisaa.
Ha ha ha...Ustaadh ndio kaongeza hofu!
 
Sasa sehemu ya kukaa si unachaguliwa hapo unaweza kuomba wakupe sehemu flani ya kukaa
 
Nilipanda ndege halafu nikakaa siti ya dirishani, ,sikua na amani kabisa. Kila nikitizama nje chini mbali mpaka nadata ikabidi nishushe shade. Mara nasikia kama ndege imeyumba, inapepea kama karatasi basi nafumba macho, nashika siti kwa nguvu ili nisionekane natetemeka. Naomba watuletee meli tu za masafa marefu kwenda ulaya, marekani, china uarabuni.
Umenikumbusha Precision kwa Mara ya kwanza kwenda Mwanza alafu tukakutana na wingu nzito. Daah. Huoni kitu alafu inatingishwa lakini ukicheck wenzio ndio kwanza wanapiga story. Nilikaa na binti mmoja alinikumbatia hatari
 
Nyuma ya ndege mara nyingi ni salama kwasababu mara nyingi ndege ikianguka huwa ina-nose diving. Chances are the back seaters have more chance to survive the crash but not all the time.
 
Ila anga likichafuka hata A380 inavurugwa tu...
Hivi mkuu kati ya airbus A380 na boeing b787 dreamliner ipi ni nzuri zaidi kwa vigezo vya capacity,cruising speed na comfortability
 
1. Ukikaa mbele nafasi ya kupona ni 49%

2.Ukikaa kati nafasi ya kupona ni 56%

3.Ukikaa nyuma nafasi ya kupona ni 69%

Kumbe yule waziri aliyekataa kusafiri baada ya kukosa Business Class alikuwa anakimbilia chance nyekundu bila kujijua
 
Siku yako ikifika imefika tuu, lakini tahadhari ni muhimu pia!!!!

Ngoja nikariri siku nikibahatika kuipanda nikae koridoni!!!
Hahaha mkuu umenifurahisha mm cku nikiota ntautafuta huu uzi ni some halafu ndo Nitaenda kupanda
 
Usoigope mkuu maana ule mstuko tu wengine huwa wanakufa hapo then Impact ikiendelea ndo wengine wanafuata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani umejua kunichekeshaaa
 
Back
Top Bottom